Tukubaliane tu hii mechi wachezaji hawakuwa timamu vizuri....Au pia walidharau mechi baada ya kupata ushindi ugenini... Japo tuna maumivu ila mimi nimekubaliana na hali... Njia ya kuingia uefa kupitia Europa yenye misukosuko ndo hivyo tena blocked kwetu... Hapa ni kukomaa na njia iliyobaki ambayo ni ngumu kiukweli.
nimejichokea.tumevunjwa moyo na upumbavu wa wachezaji.unadhani mashabiki wataendelea kuvumilia kuangalia the rest of the matches at Emirates stadium?! NO
Sokratis, Luiz ,Chambers ,Holding ,Mustafi, Lacazette,
Leno wapo wengi ambao ni are not good enough for this
club Hamtakuja ku compete
for anything ni Aubameyang peke yake ambaye unaweza kumuita World class playerat this club waliobakia ni
Takataka.