Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Matteo Guendouzi had been dropped for the visit of Newcastle after clashing with Arteta in training on the club’s winter break trip to Dubai. And The Athletic has been told that is not the only time Guendouzi has been reprimanded for his behaviour. [@David_Ornstein]
 
pia arteta anampanga xhaka kama DM, toirerra anapigwa benchi....mfano ni mechi mbili zilizopita!

hapo unajitetea je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pia arteta anampanga xhaka kama DM, toirerra anapigwa benchi....mfano ni mechi mbili zilizopita!

hapo unajitetea je?

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia hapa , Xhaka hachez DM kwa Arteta



Role ya Xhaka ni kupiga Range pass kwa Saka tunaposhambulia , pia kumsaidia LB Ku cover nafas yake anapokuwa amepanda .

Siku zote anacheza hivo chini ya Arteta

DM mech mbili zote anacheza Cebayos

Ila anacheza kama Register

yuko sharp anajua kutandaza pass jana kafanya interception 4 nyingi kuliko yeyote akiwa na pass success 84% akizidiwa na xhaka kwa 93% .



Toreira kupigwa bench , haina shida je nan anayempiga bench



Mechi mbili mfululizo za EPL TORREIRA kaanzia benchi hakuna anayelalamika humu na kila siku tulikua tunasema humu pale Arsenal hakuna defensive midfielder kama TORREIRA tukasahau njia njia nyingine ya kudefend ni kuhold mipira na uwepo wa CEBALLOS tayari yeye na TORREIRA ni kama copy and paste ,Kina dully na wengine watakuja kulalamika humu wakiona Unawaacha nje kina LT11 ,Cebayos halafu unawapanga kina gunduz na willock

Nasemaje tena Arsenal sio kwamba haitafungwa wala haitatoa draw yote yatatokea.

ila sisi tunataka mpira mzuri sio akae Guendouzi na Willock kati watupoteze halafu tusingizie bado hawajakua,

Huo ujinga ni wa Unai emery , Unamuweka Matteo na Willock kama muhimili ya kiungo ,halafu unawaacha nje LT11, ceballos na Ozil na kuaminisha watu ujinga


Tuwaache waliokua na Wenye uwezo CEBAYOS na LUCAS waisaidie timu
 
Jamaa alikuwa na redcard amemiss game 3 amerudi amewakuta wanamsubiri...
Tuna kila sababu ya kuendelea kusuka eneo letu la ulinzi...
View attachment 1367891

Sent using Jamii Forums mobile app
Auba ni hatari ukizingatia magoli mengi alifunga wakati team iko hovyo sana. Kwa form ya sasa ya team plus support anayopata toka kwa team mates, kama atakuwa injury free atahit 30+ goals and so far I see no one to beat him for the golden boot.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina cha kuongeza hapa mkuu,

Ishu sio LT11 kukaa bench,
Je anakaa bench kwa nani? Hapo umeua kila kitu.....
Dani yupo sawa na kila siku tulikuwa tunalilia apangwe na hata alipopangwa hajatuanguasha....na hilo ndilo tamanio na hitaji letu wana Gunners,

Suala la kumweka LT11 nje alafu kina Gue wanaanza wanasindikiza maadui katika goli letu tunapigiwa mishuti kibao sio sawa kwakweli.....au yule Wilock anaengukaanguka bila sababu kisha unajitetea kuwa yupo katika growth stage hahahaaaaaaa...
Panga watu kweli ili kama kufa tufe kiume ...eti unapigwa na mapanga mpaka unakufa wakati una bastola mfukoni dadadadek...

NB:Hii unbeaten run mpaka lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal want to activate Thomas Partey's €50m release clause this summer. Arsenal are very serious about getting a deal done and they have already approached the player's agent to start negotiations. (@libertaddigital) ...
 
Arsenal are aiming to sign Thomas Partey for €50m in the summer should the midfielder choose not to renew his current deal with Atletico Madrid [@Dvinuesa] #afc
 
Jana angeanza willock na Guendouzi kama wangeanza humu Aaron angepotea wiki nzima hata Mimi ningepotea kwa aibu kubwa sana yaani ingekuwa aibu ya 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana angeanza willock na Guendouzi kama wangeanza humu Aaron angepotea wiki nzima hata Mimi ningepotea kwa aibu kubwa sana yaani ingekuwa aibu ya 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa kweli aisee

Wale watoto hawana Quality wanaongeza Quantity tu ya kikosi

Ndio maana Arteta summer anatajwa kuleta viungo wengine ,Automatically hawa watoto watatolewa loan au kuuzwa
 
A number of former Arsenal players have recommended Benrahma to the Arsenal board. Arsenal have been watching the player closely this season. [@francefootball]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…