Everton sio team ndogo na ya kubezwa, pia wana kocha mwenye uzoefu so hili lazima lingetokea.Daah kama mimi. Castle lite yangu baridi mpaka ikwa ya moto. Sikuinywa mpaka mpira ulipoisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha presha noma aisee hadi hamu ya kula na kunywa inapoteaDaah kama mimi. Castle lite yangu baridi mpaka ikwa ya moto. Sikuinywa mpaka mpira ulipoisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha presha noma aisee hadi hamu ya kula na kunywa inapotea
Wajiandae wao wana Everton ,wiki ijayoNilikuwa na wapenzi wa Man u. Dakika ya pili tunafungwa Goal kaunta nzima ilinishambulia kwa maneno ya kejeli. Baada ya mpira kwisha furaha yangu iliwafanya baadhi yao wakimbie. There is a time Ball possession ilikuwa Goooner 72% kwa 28%. Our future seems to be bright under Arteta
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajiandae wao wana Everton ,wiki ijayo
Everton mipira ya juu ni hatari sana
Leo mustafi kafanya clearlence kibao
Most assists in all comps by a Premier League player:
De Bruyne: 17
Alexander-Arnold 12
Mahrez: 12
Firmino: 11
SAKA: 10
Bukayo has an assist every 166 minutes. View attachment 1367496
Yah siku hizi hatufungwi kwa uzembe wa mabeki
Namuelewa sana legend... Sasa naweza acha kazi zangu nikaenda kucheki gemu na nisijutie... Kipindi cha nyuma nilikuwa naenda kucheki sababu ni timu yangu inacheza na baadhi ya mechi sicheki naweka notification on tu kinachotokea wananijuza...Arteta kuna kitu kizuri anakionyesha.Nilikuwa na wapenzi wa Man u. Dakika ya pili tunafungwa Goal kaunta nzima ilinishambulia kwa maneno ya kejeli. Baada ya mpira kwisha furaha yangu iliwafanya baadhi yao wakimbie. There is a time Ball possession ilikuwa Goooner 72% kwa 28%. Our future seems to be bright under Arteta
Sent using Jamii Forums mobile app
Namuelewa sana legend... Sasa naweza acha kazi zangu nikaenda kucheki gemu na nisijutie... Kipindi cha nyuma nilikuwa naenda kucheki sababu ni timu yangu inacheza na baadhi ya mechi sicheki naweka notification on tu kinachotokea wananijuza...Arteta kuna kitu kizuri anakionyesha.
Nakubali... Hata kwa kupitia Europa pia mlango upo wazi...Muhimu ni kukaza buti kama ulivyosema.Absolutely...am sure tunaweza kucheza UEFA tukikaza buti. Nafasi ya tano iko wazi sana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Arteta dk 5 za mwisho alibadili mfumo ,baada ya kuingia Matteo ,nakufanya tucheze viungo watatu
Alitaka kudefence