Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wanacheza ndani ya eneo la Everton lakini bado hawajapata nafasi ya kufunga.

Dakika yaenda ni ya 24
 
2-1

Aubameyang anafunga goli la pili kwa uhakika kabisa.

Arteta ameleta kitu kipya kabisa, honestly.

Safi sana

COYGs
 
Uyu dogo Saka apewe mkataba mpya waache utani wampe salary ata ya 100k pound per week

Sent using Jamii Forums mobile app




Saka ana miaka 18

Mkataba wake ni mpaka 2021

Nafasi anayocheza ni kwa emergency tu, kwani yeye ni mshambuliaji wa pembeni na kwa sasa anacheza kuziba nafasi ya Kieran Tierney bado yuko bench.

Mkataba wake kwa sasa ni pauni 3,000 kwa wiki alosaini mwezi September 2018

Hivyo wakala wake anapigania hadi 50,000 kwa wiki kama kianzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…