Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Jana ozil na lt11 hawakusafiri na timu ,anapewa nafasiKiukweli Willock anazingua sana!.. Lakini nimejifunza kumuamini kocha! Huyu dogo atakuwa machine soon!.. Hebu muangalie Lacca, anaanza kurudi kwenye hali yake, check Ozil ameanza kuscore!.. Mimi naamini kuna kitu anakiona kwa huyu dogo ambacho pengine sisi hatujakiona!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ila kama mchezaji anatafutiwa fitness , wanaruhusiwa kucheza U23
Huyu mtoto Jana na laca wametukaba sanaDogo hana pumzi, ndio maana ulimi upo nje muda wote. Halafu ni mzito kufanya maamuzi sahihi
Anakera sana yaani huyu dogo....lakini matoto kama haya ukiyauza huko timu nyingine wanauwasha moto mpaka unashangaa....Hamna mchezaji mule
11 matchArteta's #Arsenal Record:
v Bournemouth
v Chelsea
v Manchester Utd
v Leeds
v Crystal Palace
v Sheffield Utd
v Chelsea
v Bournemouth
v Burnley
v Newcastle Utd
v Olympiacos
Kiukweli Willock anazingua sana!.. Lakini nimejifunza kumuamini kocha! Huyu dogo atakuwa machine soon!.. Hebu muangalie Lacca, anaanza kurudi kwenye hali yake, check Ozil ameanza kuscore!.. Mimi naamini kuna kitu anakiona kwa huyu dogo ambacho pengine sisi hatujakiona!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Reine Adeleide anauwasha moto huko Lyon,Kwa kweli anaboa sana!.. Ila kwa kuwa bado ana umri mdogo sana anaweza akabadilika! Tumpe muda, labda soka linaweza kuonyesha maajabu yake!.. Nikimkumbuka Sege Gnabry enzi zake Arsenal na jinsi alivyo huko aliko, inasababisha niendelee kumvumilia dogo. Kuanzia sasa nimejipa kazi ya kumfuatilia sana Willock labda nitaweza kukiona kile kocha anachokiona!.. Ila ninahisi Arteta anamchezesha mara kwa mara ili hata ikitokea Ozil kapata injury, basi dogo aweze kuziba pengo, maana hatuna option nyingi hilo eneo
Sent using Jamii Forums mobile app
Good record actually!Arteta's #Arsenal Record:
v Bournemouth
v Chelsea
v Manchester Utd
v Leeds
v Crystal Palace
v Sheffield Utd
v Chelsea
v Bournemouth
v Burnley
v Newcastle Utd
v Olympiacos
Bora calos vella , Gnabry wameondoka wapo vzr tu ,sio huyu WillockUsemalo ni kweli kabisa,maana mbina wapo wanaotoka hapo wakiwa hovyo lakini wakienda wanapoenda tunaanza kuwatamani tena......Carlos Vella ameniuma sana aiseeeeehhhhh
Sent using Jamii Forums mobile app
Vella alikuwaga vzr sana yule mmexicoReine Adeleide anauwasha moto huko Lyon,
Gnabry dah top top top ....
Hakuna mchezaji ambaye nilikuwa nikimuona akicheza nasikitika kama Vella
Sent using Jamii Forums mobile app
Gunduz huyu anatuchelewesha sanaMchezaji mwingine ambaye anaweza badilika akipata playing time ya kutosha ni Nelson.Niles akitulia akaacha papara anaweza badilika pia. I also see potentials in Guoenduzi akiweza kumizoea Xhaka
Aongeze mkataba , akidanganywa anaenda kupotea jumlaSaka needs to cool down. Asiikimbie timu. Pale ndio nyumbani palipomfanya a-shine
Saka needs to cool down. Asiikimbie timu. Pale ndio nyumbani palipomfanya a-shine