Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lampard ni kocha mzuri kabisa mbona!.. Kiukweli Chelsea mmebahatikà kupata kocha mzuri. Mimi naamini atawasaidia sana. Pia Arsenal tumelamba dume kwa Arteta. Timu yenye kocha wa hovyo ni man u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I've gone with Papa at right-back here, but that is just me guessing for now.

Subs: Martinez, Holding, Maitland-Niles, Kolasinac, Ceballos, Pepe, Nketiah.
 
Sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Martinez pia sio kipa mbaya, nadhani hii ingekuwa fursa nzuri kwake kuonyesha uwezo.
 
Holding alikuwa kwenye form Sana yule dogo rashford ndo alimwaribia mwenzio toka arudi form imeshuka kabisa hata confidence hamna sijaelewa kwann hajamweka Mari hata sub

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DSTV wapumbavu kweli nipo naangalia SS3 ya South Africa, wanaonyesha mechi ya Man U na hao wabeligiji baadae wataonyesha ya kwetu.
Lakini ss3ya huku haionyeshi hizo mechi.
 
DSTV wapumbavu kweli nipo naangalia SS3 ya South Africa, wanaonyesha mechi ya Man U na hao wabeligiji baadae wataonyesha ya kwetu.
Lakini ss3ya huku haionyeshi hizo mechi.
Jaribu startimes... Nasikia wanaonyesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…