Kwa namna wanavyocheza Newcastle nguvu ya Kola inahitajika sana kuna kipindi Saka nguvu ya kuingia kwa kulazimisha inamshinda,Arteta aangalie sana Xhaka atakuja kutugarimu humu ikiwezekana ampe dakika kadhaa ampeleke nje tu.
Sent using
Jamii Forums mobile app