computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Hakika mkuu,nakuelewa sana maana kuna mdau anasema hakuna maendeleo yoyote....Building team ni progress thing, huwezi ku-achieve maeneo yote kwa wakati mmoja.
Hatua tu ya kupunguza magoli kwa mechi chache alizo coach inakuonesha kwamba kuna positive progress.
Ndiyo maana kuna hizo tetesi za kina Laca, Auba, Ozil kuuzwa kwa sababu inaonekana hawawezi kuucheza mfumo wa coach.
Mpeni summer moja ya kufanya usajili, maeneo yataongezeka.
Hakika mkuu,nakuelewa sana maana kuna mdau anasema hakuna maendeleo yoyote....
Sent using Jamii Forums mobile app
HakikaMimi nimeona wenyewe mnakubali kwamba magoli ya kufungwa yamepungua, that is positive.
Project ya kurudisha timu kwenye msitari siyo zoezi dogo, mfano nikiangalia Liverpool aliyoichukua Klopp, utaona alianza mbele Mane na Salah, akaja katikati, na then akamaliza kwa majambazi wawili VVD na Alisson.
Na imemchukua miaka 4 kuchukua UEFA, leo msimu wa 5 anachukua EPL. Muhimu ni matajiri kutoa sapoti. Na kocha pia aweze kuhandle pressure za mashabiki na pundits.
Naona klopp hataki habari za micky mouseEPL >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> 2UCL
Kajamaa ni kafupi lakin ni kabishi kwenye dimba aise BTW havihusiani
Naona klopp hataki habari za micky mouse
Yaani akili za Klopp kama zakoKlopp anajifanya Muhuni kawapa wachezaji Mapumziko wanakula Bata Marekani na Falme za Kiarabu anachezesha watoto wa U23 kwenye Mickey Mouse.
Arudi homeRamsey has failed to shine at Juventus, he is up for sale this summer
Huyu jamaa sijamuelewa kabisa,asije kuwa kama yule Papaa nani sijui wa simba mreeeeeeefuuu halafu hamna kitu.According to a report from France, Arsenal are close to signing Pape Gueye from Le Havre in a deal close to €6m. The defensive midfielder has less than 18 months on his current deal.
Mkuu haya mambo ndo maana milango mitatu alikuwa anatutukana hao washawah kwenda USA MALAYSIA sehemu kibao ila wakirudi mambo ni yale yale huyo Ozil hata aongee nini kwa sasa anatakiwa awe China huko anacheza mpira yaani hii timu inahitaji mabadiliko makubwa sana huko Dubai wameenda kutalii tu hawa sioni kama kuna jipya litabadilika chini ya wachezaji hawa hawa na pia usisahau tuna game na olympiacos away next week Alhamisi#NiajeGooners
Hope mpo good na ni bukheri wa afya!
Huu ni muendelezo wa updates za trip yetu kule Dubai na ikiwa ndio tunaelekea mwishoni mwa trip hii mengi yamefanyika huko.
Nisikuchoshe....
"Hatuwezi kua na furaha zaidi ya hiikwa mazingira haya yasisi kujifua.Tumekua na sababu ya msingi kuja hapa.Tunafuraha tulifanya uamuzi huu.Tumekuja kufanya kazi,haikua likizo.Tumekua tukifanya kazi kwa juhudi na bidii sana."-Ni maneno ya kocha Mikel Arteta juu ya manufaa ya Trip ya Dubai.
Mwalimu ameyasema hayo baada ya kuelekea ukingoni mwa kambi hii ya muda mfupi.
Ukilinganisha na performance ya Timi unaweza sema wameenda kula raha tu, kwanini hawakubaki london wafanye mazoezi huko?
Ila Kama binadamu ni jambo jema kua optimistic (yani kuwaza na kutarajia mambo katika mtiririko chanya).
Nimefurahi timu inamaliza ka likizo haka kafupi na ni muda sasa warudi london na kutupa kile mashabiki tunachokitaka yani ushindi.
Wachezaji nimeona wapo katika spirit ya juu wamebadilika na wanafuraha.Ozil kahojiwa,Auba nae kahojiwa na Hector kahojiwa hawa ni makapteni wetu in no particular order na wameonyesha kuna hali ya utulivu ndani ya kikosi kwa ujumla.
Bila shaka huu ni mwanzo mzuri na ni nafasi ya walau kujaribu kupata nafasi katika champions league msimu ujao.
Honestly nimemikamisi kale ka wimbo ka UEFA...Nina amini inawezekana na baada ya timu nzima kuingia gereji na kufanya kaservice fulani na kurecharge mabetri yalio onekana yapo low.
Tukirudi tuna mechi 5 hizi ambazoni muhimu tupate matokeo.
Sunday 16 February 2020 nyumbani
Arsenal
19:30
Newcastle
Sunday 23 February 2020 nyumbani
Arsenal
19:30
Everton
Saturday 7 March 2020 nyumbani
Arsenal
18:00
West Ham
Saturday 14 March 2020 away
Brighton
18:00
Arsenal
Sunday 22 March 2020 away
Southampton
19:30
Arsenal
Hii mechi ya Newcastle nitaichambua ;
Uvumilivu ni mtaji.Mkuu haya mambo ndo maana milango mitatu alikuwa anatutukana hao washawah kwenda USA MALAYSIA sehemu kibao ila wakirudi mambo ni yale yale huyo Ozil hata aongee nini kwa sasa anatakiwa awe China huko anacheza mpira yaani hii timu inahitaji mabadiliko makubwa sana huko Dubai wameenda kutalii tu hawa sioni kama kuna jipya litabadilika chini ya wachezaji hawa hawa na pia usisahau tuna game na olympiacos away next week Alhamisi
Sent using Jamii Forums mobile app