computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Wanataka arudi kwa nafasi ipi mkuu!... Maana najua kurudi kama kocha sio rahisi.. Halafu huyu mzee kala shavu kuke Fifa, atakubali kweli kurudi emirates?
Yaani hili kama lipo kweli na likifanikiwa tutakuwa tunapiga steps backward.
Big summer ahead,ila nawaza Aubameyang na laca without replacement, kwa maana hiyo Martinelli ndio striker au Nketiah??According to reports:
-Mikel Arteta may sell Aubameyang, Lacazette & Özil in the summer.
-The priorities regarding incoming players are a number 8, a centre half & a number 10.
-Work has already started behind the scenes.
-He wants to complete our business before Euro 2020.
No analeta wengineBig summer ahead,ila nawaza Aubameyang na laca without replacement, kwa maana hiyo Martinelli ndio striker au Nketiah??
Big summer ahead,ila nawaza Aubameyang na laca without replacement, kwa maana hiyo Martinelli ndio striker au Nketiah??
Umemaanisha kina nani hao kuwa ni mizigo mkuu?Auze tu hiyo ni mizigo
Hii kauli naomba ithibitishwe na mashabiki wa liverpool... ndo itakuwa valid
Hatuwezi kumlaumu kocha hata kidogo, haiwezekani Emery , Fred na Arteta wote wafeli halafu tuseme kocha ndio tatizo, mimi naanza kuona shida ni wachezaji tu, mwanzo tatizo lilikuwa nyuma, Arteta kasolve hilo tatizo leo akicheza Sokratis, Mustafi au luiz wote wanafanya poa tu, haturuhusu magoli mepesi kama mwanzo, Eti ajabu tatizo limeamia mbele watu wamekuwa mizigo kufunga na kuassist hawawezi tena.Everton ndani ya miezi 2 alikuwa wa 18 Leo ni wa 7 na katuacha point 5 na wachezaji aliowakuta ni wale wale next game na Newcastle tusipopata point 3 ntaanza kuwa na shaka na uwezo wa kocha sasa maana tunalaumu sana wachezaji wetu sana licha kweli ni mzigo wengineo ila ARTETA next game lazima tushinde na hakuna sare yaani point 3 na ARTETA hatumsemi sana sababu ni damu yetu wa Arsenal ila nae lazima tumtazame kwa jicho la 3 kama tutashindwa kupata point 3 Tarehe 16
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda tatizo likawa kocha, yaani kocha ameweza kutengeneza defensive unit, lakini kashindwa kutengeneza attacking unit. Kipindi cha Wenger timu ilikuwa inafungika kirahisi lakini tulikuwa tunatupia sana. Leo Arteta kaweza kutengeneza ulinzi na ushambuliaji umekuwa tatizo.Hatuwezi kumlaumu kocha hata kidogo, haiwezekani Emery , Fred na Arteta wote wafeli halafu tuseme kocha ndio tatizo, mimi naanza kuona shida ni wachezaji tu, mwanzo tatizo lilikuwa nyuma, Arteta kasolve hilo tatizo leo akicheza Sokratis, Mustafi au luiz wote wanafanya poa tu, haturuhusu magoli mepesi kama mwanzo, Eti ajabu tatizo limeamia mbele watu wamekuwa mizigo kufunga na kuassist hawawezi tena.
Kule mbele kuna utotoEverton ndani ya miezi 2 alikuwa wa 18 Leo ni wa 7 na katuacha point 5 na wachezaji aliowakuta ni wale wale next game na Newcastle tusipopata point 3 ntaanza kuwa na shaka na uwezo wa kocha sasa maana tunalaumu sana wachezaji wetu sana licha kweli ni mzigo wengineo ila ARTETA next game lazima tushinde na hakuna sare yaani point 3 na ARTETA hatumsemi sana sababu ni damu yetu wa Arsenal ila nae lazima tumtazame kwa jicho la 3 kama tutashindwa kupata point 3 Tarehe 16
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia kwenye ushambuliaji , Tunamtegemea Auba tu.Huenda tatizo likawa kocha, yaani kocha ameweza kutengeneza defensive unit, lakini kashindwa kutengeneza attacking unit. Kipindi cha Wenger timu ilikuwa inafungika kirahisi lakini tulikuwa tunatupia sana. Leo Arteta kaweza kutengeneza ulinzi na ushambuliaji umekuwa tatizo.
Nakubaliana na wewe kabisaHatuwezi kumlaumu kocha hata kidogo, haiwezekani Emery , Fred na Arteta wote wafeli halafu tuseme kocha ndio tatizo, mimi naanza kuona shida ni wachezaji tu, mwanzo tatizo lilikuwa nyuma, Arteta kasolve hilo tatizo leo akicheza Sokratis, Mustafi au luiz wote wanafanya poa tu, haturuhusu magoli mepesi kama mwanzo, Eti ajabu tatizo limeamia mbele watu wamekuwa mizigo kufunga na kuassist hawawezi tena.
Huenda tatizo likawa kocha, yaani kocha ameweza kutengeneza defensive unit, lakini kashindwa kutengeneza attacking unit. Kipindi cha Wenger timu ilikuwa inafungika kirahisi lakini tulikuwa tunatupia sana. Leo Arteta kaweza kutengeneza ulinzi na ushambuliaji umekuwa tatizo.
Hilo nalielewa kiongozi, binafsi wala sina tatizo na Arteta coz najua hakuna kazi ya mara moja. Ni process!!Building team ni progress thing, huwezi ku-achieve maeneo yote kwa wakati mmoja.
Hatua tu ya kupunguza magoli kwa mechi chache alizo coach inakuonesha kwamba kuna positive progress.
Ndiyo maana kuna hizo tetesi za kina Laca, Auba, Ozil kuuzwa kwa sababu inaonekana hawawezi kuucheza mfumo wa coach.
Mpeni summer moja ya kufanya usajili, maeneo yataongezeka.
Ukiangalia kwenye ushambuliaji , Tunamtegemea Auba tu.
Laca hayupo form kabisa kwenye swala la kufunga
Pepe anasuasua
Ozil umri unamtupa mkono
Ndio maana Arteta anataka kufanya overhaul kwenye attacking , ni kama wamesharidhika kule mbele
Nafas zinatengenezwa ila hazitumiwi ipasavyo
Kwenye attacking , Arteta afanyie kazi zaid