Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa kweli wewe unatupaga vidonge hapa bila matusi, pia unatoaga ushauri hapa tunapoboronga!.. Kwa kweli wewe ni mtu wa mpira!.. Maana ya utani ni kutaniana na kuinjoy mpira!.. Tatizo kuna wengine wana matusi sana mpaka wanaboa!.. Hebu angalia wale mashabiki wa Aston Villa toka Tz, yaani wamekuwa kama mazuzu, wanatukana matusi mpaka unaona aibu!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa hapa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technical director Edu spoke to Lille about taking centre-back Gabriel Magalhães on loan last month with a view to a permanent deal in the summer but was slapped down by Lille president Gérard Lopez. Arsenal are lining up a £30million summer transfer swoop. [Mark Irwin]
 
Sawa tuweke makombe mezani. Haya mimi naanza kwa kutoa la UCL hilo hapo mezani, naongeza na makombe 2 ya UEFA EUROPA.

Haya yatoe ya kwako ya UCL na EUROPA tafadhali, weka hapa mezani niyaone

Sent using Cash Money Wings
Aiseh yaani wewe mgumu kuelewa ,ila sawa tutakwenda taratibu.....namaanisha hivi weka jumla ya makombe yako yote mbona kama kuna kitu unafichaficha mkuu...!!!!basi subiri nije na takwimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna hoja...EPL ni mbarara?umekaa 50yrs unalisaka,hao Kops ni mabingwa wa DUNIA lakini shangwe yao kubwa ni kubeba EPL......hizi maneno wakiongea nyumbu ndio ntawaelewa,ila nyinyi na Nottingham Forest hamna tofauti.

NYINYI BADO SANA.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…