Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Anazingua na yy japo anaweza akabadilika... Ila huyu mtu wangu duhUyu Ozil angeenda tu
Wazee kuhusu swala la lacazete nadhani ni mda sasa umefika akae benchi aangalie wengine wakipambana sijui kwanini Arteta kaamua kumng'ang'ania kumuanzisha kila gemu
Unayemwongelea ww ni ARV mkuu. Yule jamaa ni shabiki kabisa wa Arsenal.Mkuu yule jamaa tulikuja kugundua alikua nyumbu yule anayepandisha matokeo katikati ya mchezo alafu anakimbia
Watu walikuwa wakiongea hapa kundi zima kumhusu Unai kutomchezesha Ozil. Haya sasa huyo hapo, ana maajabu gani? Unai alikuwa sahihi kutompanga, ni mzigo kwa timu.
Lacazette sasa.yani ndo uuuuuuuuwwiii!! Anakimbiakimbia tu kama masai mbugani. Haeleweki anacheza kitu gani. Ukijumlisha na Flop wa match ya leo - bwana Auba - basi nadhani unajua unapata kitu gani. Yani ndugu zangu nyie mkiingia Top 4, ni kombe kabisa. Itabidi Malkia Elizabeth ampe u- sir bwana Arteta.
Kwa hizi sub za Willock ... kazi ipo kwelikweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm naamini ceballos yupo vizuri kama akipewa nafasi...anajua kushoot,kudribble,kupunguza watu hata assist...Nasubir arteta ampe tena nafasi tumuone.Tunahitaji kiungo namba kumi mzuri anayejua kufunga, kuassist na kupush timu iende mbele,Mpira wa kizamani wa kutegemea timu iperform eti ndio na wewe mchezaji ushine haupo huo,Mchezaji asiye na individual tracing mpira wa sasa lazima umshinde tu, ona kama akifeli Aubameyang timu inashindwa kufunga goli, ndio nini sasa hiki,Kiungo lazima awe ana option nyingi,James Rodriguez atatufaa sana, rudisha Ceballos mlete James full stop.
Ana Chuki nae hawezi mpa nafasi Arteta ni mcatalunya anaonyesha chuki wazwaz leo hivi kama hauna chuki na tunahitaji matokeo kati ya willock na ceballos nani alikuwa muhimu?maisha ya ceballos na pepe yatakuwa magumu sana chini ya Arteta naamini kwa sasa Hawana nafasi tena kama Leo tunataka matokeo ya 3 points na hawakuingizwa sioni kama kuna mechi watacheza labda aone aibu sababu amesema anakubali kukosolewa na amekosea Leo amekiri labdaMm naamini ceballos yupo vizuri kama akipewa nafasi...anajua kushoot,kudribble,kupunguza watu hata assist...Nasubir arteta ampe tena nafasi tumuone.
Mzee umeongea ukweli kabisa, hatuwezi kwenda UEFA bila commitment, kwasababu unaweza ukajiuliza swali dogo tu "hivi wachezaji wetu walikuwa hawajui kwamba leo it was a must win game? inamaana hawajiskii vibaya kuwa chini ya Shelfield utd,Everton,palace??...vitu vingine vinakera sana, wao wenyewe wanafanya waonekane average players, unatakiwa ujue nini maana ya kuvaa jezi ya Arsenal sio unakuwa falafala tuWatu walikuwa wakiongea hapa kundi zima kumhusu Unai kutomchezesha Ozil. Haya sasa huyo hapo, ana maajabu gani? Unai alikuwa sahihi kutompanga, ni mzigo kwa timu.
Lacazette sasa.yani ndo uuuuuuuuwwiii!! Anakimbiakimbia tu kama masai mbugani. Haeleweki anacheza kitu gani. Ukijumlisha na Flop wa match ya leo - bwana Auba - basi nadhani unajua unapata kitu gani. Yani ndugu zangu nyie mkiingia Top 4, ni kombe kabisa. Itabidi Malkia Elizabeth ampe u- sir bwana Arteta.
Kwa hizi sub za Willock ... kazi ipo kwelikweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe munamuamini kocha!. Wakati Ozil anawekwa benchi watu walimtukana sana kocha kuwa hajui, sasa OIl anapangwa watu wale wale wameanza kuponda!.. Sasa naona watu wanalazimisha Ceballos apangwe!.. Kocha ameshamwambia kabisa kuwa apiganie namba!.. Hivi unajua Ceballos toka aje Arsenal kafunga goal ngapi na ana assist ngapi?.. Kusema kweli Ceballos alipokuja alikipiga ile mbaya hasa mechi yake ya kwanza na ya pili, baada ya hapo akaflop sana!.. Pepe nae anacheza mpira wa kiafrica wa chenga nyingi na kufinya kwingi bila sababu!.. Kocha anamuelekeza lakini habadiliki, siku akianza kupigwa benchi watu mtaona kaonewa!.. Mwacheni kocha wetu apange timu, yeye ndio anaijua timu huko kwenye mazoezi!.. Timu ipo kwenye transition na tunapitia mengi kwa sasa kama Man u, chelsea, man u, Spurs.. Tumuache kocha asuke kikosi chake! Sasa kama akina Lacazette, na Ozil wanaunderperform kocha afanyeje sasa na hakuna mbadala wa kueleweka!Ana Chuki nae hawezi mpa nafasi Arteta ni mcatalunya anaonyesha chuki wazwaz leo hivi kama hauna chuki na tunahitaji matokeo kati ya willock na ceballos nani alikuwa muhimu?maisha ya ceballos na pepe yatakuwa magumu sana chini ya Arteta naamini kwa sasa Hawana nafasi tena kama Leo tunataka matokeo ya 3 points na hawakuingizwa sioni kama kuna mechi watacheza labda aone aibu sababu amesema anakubali kukosolewa na amekosea Leo amekiri labda
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio utakuwa kinyesi, usitujumuishe wote!..Ukiangalia mpira wa Totteham vs Man City sisi Arsenal ni kinyesi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio utakuwa kinyesi, usitujumuishe wote!..Ukiangalia mpira wa Totteham vs Man City sisi Arsenal ni kinyesi tu
Sent using Jamii Forums mobile app