Ni kweli baada ya international break utamuona mzigoni, huyu hapa
Mzee kwani ligi inaelekea kwenye international break?
Ni kweli baada ya international break utamuona mzigoni, huyu hapa
Yeah two weeks after game ya Burnley au baada ya mechi za weekend hiiMzee kwani ligi inaelekea kwenye international break?
Ndio bado kama sikosei baada ya mech za wikiend hiiMzee kwani ligi inaelekea kwenye international break?
Mzee kati yangu mimi au wewe kuna mmoja haelewi maana ya international breakNdio bado kama sikosei baada ya mech za wikiend hii
Una uhakika ni international break na si break nyingine?Yeah two weeks after game ya Burnley au baada ya mechi za weekend hii
Basi tuseme mapumziko...na mara nyingi huambatana na mechi za kimataifa.Una uhakika ni international break na si break nyingine?
Hapo sawa, international break ni kusimamisha ligi kupisha mechi za timu za taifaBasi tuseme mapumziko
Na mara nyingi hizi break huchezwa mechi za kimataifaHapo sawa, international break ni kusimamisha ligi kupisha mechi za timu za taifa
Mechi Feb zipo kila weekend isipokuwa zitakuwa hazichezi zote yaani mfano sisi tukimalizana na Burnley next game ni kama tarehe 15 AU 16 ila mechi zipo kila weekend ya Feb watakuwa wanacheza kwa kupokezanaNdio bado kama sikosei baada ya mech za wikiend hii
Nadhani wanaita winter break,ni kuwapa mapumziko wachezaji wa Epl ambao wao huwa hawana mid-season break ile ya festive season kama ligi zingine za Ulaya.Mzee kati yangu mimi au wewe kuna mmoja haelewi maana ya international break
Nani huyo aliyekutonya ambaye anajua zaidi ya Arteta?Huyu jamaa kuna mtu kanitonya eti ana injury
Alafu imekuwaje ?kwahiyo mtakuwa wembley tar ngapi?
Nishaambiwa atapona baada ya hii break
Safi sana hiiUJIO WA CEDRIC SOARES NDANI YA ARSENAL
Mchezaj mzuri .... N modern fullback ambaye anaplay two role (advanced role) anacheza LEFT & RIGHT fullback
Anacheza kama Hector ila sio sawa na Hector.....
Ana experience ya game tayari ,kacheza game nyingi pale saints, kacheza game nyingi national team pia hii inamfanya awe na credit ya *maturity* sasa....
Kama tukifanikiwa kumpata tutakuwa tumepata MTU sahihi wa kufanya back kwa Berrelin
Aidha tutakuwa tumepata options nzuri zaidi ya nan acheze na kwann na katika mechi gan...
Tatu ,tutakuwa tumeongeza computability ya back line na kuifanya izidi kuwa solid .
Mwisho tunaongeza squad depth ambayo inaweza kutulinda dhindi ya injuryView attachment 1340543
Hahaaa OK namaanisha zile za kwenda mech za kimataifa au wewe unamaanisha zipiMzee kati yangu mimi au wewe kuna mmoja haelewi maana ya international break
Ohoo OK nimekupata mkuuMechi Feb zipo kila weekend isipokuwa zitakuwa hazichezi zote yaani mfano sisi tukimalizana na Burnley next game ni kama tarehe 15 AU 16 ila mechi zipo kila weekend ya Feb watakuwa wanacheza kwa kupokezana
Sent using Jamii Forums mobile app