Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Very good news. Will partner sokratis thenDavid Luiz is back for Burnley game. Good news
Yah , tumuombee mustafi asiwe kaumia sana ,Very good news. Will partner sokratis then
Mkuu mm nazungumzia mech ya Leo ,sio overall
Leo willock, Nketiah ,saka wamecheza vizuri sana
Hata Matteo ndio kakichafua balaa
Mm mchezaji akicheza vzr nitamsifia ,akivurunda nitamsema
Kama willock sijawahi kumkubali ,ila Leo magoli yote mawili katoa Pre assist
Ahsante mkuu!.. Jana tulisahau kabisa shida zetu, ilikuwa gonga za hatari kama ile barca ya zamanHongereni washika bunduki, good game ilikuwa.
OK ni kweli mkuuMzee mwenzangu! Like goli la pili ni pepe ndio alipiga pasi kwa saka amabae akaweka cross ya chini chini eddie akamalizia.
Imebidi niangalie highlights, mechi za night kali huwa siwezi kuangalia.Ahsante mkuu!.. Jana tulisahau kabisa shida zetu, ilikuwa gonga za hatari kama ile barca ya zaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Inachekesha sana saa nyingineHizi sababu zetu ni za kijinga sana.
Yaani wakati Edu ana-fly na mchezaji kwenda nae London colney hatukujua kwamba tuko congested na centre backs??? Au kwamba tunataka kusave pesa??
Hii ni aibu kabisa na uhuni inakera sana
Waingereza wanapenda sana kuwapaisha wachezaji wao wakati viwango ni sifuri hivi martinelli angekuwa ni muingereza pata picha ingekuwaje?Napingana na wewe mkuu!
Holding ana uwezo mkubwa sana.
Mkuu mm nazungumzia mech ya Leo ,sio overall
Leo willock, Nketiah ,saka wamecheza vizuri sana
Hata Matteo ndio kakichafua balaa
Mm mchezaji akicheza vzr nitamsifia ,akivurunda nitamsema
Kama willock sijawahi kumkubali ,ila Leo magoli yote mawili katoa Pre assist
hata mimi baba yako ni muhuni?naona umekuwa sasa.....hiki ni kikundi cha wahuni tuu.