Hii kali!, kweli jirani yako muombee njaa.Messi ameombwa na Sepp Blatter acheze kwa mguu mmoja!
Evra is right lakini nikikumbuka vizuri msimu ulioisha Man U iliishia tu na kakombe kale ka kahawa, Carling Cup, and this year it can be even worse.. Evra was right.
Angalao tutakuwa tumesogea sogea kama tutapata bahati ya kushinda mechi zetu, ila mapema namna hii lazima ujione una mkosi. Ila mimi si utani nilitamani akutane na Chelsea.Sijaelewa washabiki wa Spurs, Man U na Chelsea wanachoshangilia, maana baada ya Barca kumnyoa Arsenal yeyote atakayepita raundi hiyo is likely to face them and sent to school too..kwi kwi kwi..
English team haziwezi kukutana kwene hatua hiyo.Angalao tutakuwa tumesogea sogea kama tutapata bahati ya kushinda mechi zetu, ila mapema namna hii lazima ujione una mkosi. Ila mimi si utani nilitamani akutane na Chelsea.
Arsenal`s Premier League encounter against Stoke at the Emirates Stadium has been postponed due to snow.
Approximately three inches of snow fell in a 30-minute period in the morning leaving match referee Lee Mason will no option but to call the game off.
Arsenal v Stoke - MATCH POSTPONED
Adverse weather conditions force referee to postpone game
:coffee: ...watani watanuna kweli leo,...! 'walikuwa wanatuombea msiba mwingine within a week baada ya Man U, UCL draw na Barca,...na leo mipira ya Delap!' ...Mungu Mkubwa bana...
Acha niendelee na maombolezi. Majuzi yalikuwa ya Dr Remmy, leo R.I.P Baba Diana -Abuu Semhando!
Hata mechi yetu na Manure kesho nayo imepigwa kalenda....f..kn snow
Arsenal wakimfunga Barca basi ni mbinu za Wenger kuwasoma barca vizuri,ila si kwa kusema soka wamewazidi,mimi naipa asilimia 99% barca kushinda 1% ndio mpira ubnadunda na mbinu za Wenger arsenal kupita.Acha uoga kwani Barca hawAFUNGINGI hebu mpigie David Trezeguet akupe siri ya Hercules kumfunga Barca 2-0
Hata mechi yetu na Manure kesho nayo imepigwa kalenda....f..kn snow
...according to a webcam sited at the club, appearing to show that the heaters had done their job
Only a fortnight ago, Chelsea publicly argued on their own website: ‘In this day and age, with all the modern technology, it is very rare you get a game called off. The pitch would have to be frozen solid or completely under water to be called off, which shouldn't happen at Stamford Bridge.'
Head groundsman Jason Griffin said: ‘At Stamford Bridge, we have a water pipe system. It's like a big radiator pumping hot water under the pitch to keep it warm. You set the temperature to go up and down, depending on the weather forecast. It's usually between 15 and 20 degrees Centigrade. If the temperature ever gets too high, I get an alert on my phone and I would know there was a problem.
‘I have to say, I couldn't believe it when I heard Chelsea against United was already off. You'd have thought the Stamford Bridge pitch, which has under-soil heating, would have been playable, so there must be other reasons for the game to be postponed that we don't know about.
Read more: Why was Chelsea v Manchester United called off... but Ipswich managed to beat the freezing conditions? | Mail Online
...aaah, nyie mna vijisababu vyenu vya kuahirisha game bana, msiisingizie kabisa snow!
RULES: SECTION E
Postponement of League Matches
13. A League Match shall not be postponed or abandoned except:
13.1 when on the date fixed for it to be played either the Home Club or the Visiting Club is
competing in a competition permitted by Rules E.10.1, E.10.2, and E.10.3; or
13.2 with the approval of or on the instructions of the officiating referee; or
13.3 by order of the police or other authority exercising its statutory powers to that effect; or
13.4 on the instructions of or with the prior written consent of the Board.
14. Upon a League Match being postponed or abandoned in accordance with Rules E.13.1, E.13.2
or E.13.3, the Home Club shall forthwith inform the Secretary, and the Board will thereupon
exercise its power under Rule E.6 and fix a date upon which the League Match in question shall
be played.
JANUARY without verminator......AW cant also xplain this.......I miss him in Action
Nawatakia wadau wote wa soka Christmas njema na mwaka 2011 wenye mafanikio.
Wazee wote wa darajani Stamford, Rev Masa, EL NINO, Rev Kishoka, Sanda Matuta, Ab-Titchaz, AljuniorTz na Invisible, bila kusahau wakongwe wa Old Trafford, Manda, Belo, Eqlypz, Idimi na Ngongo, pia washika bunduki wa Emirates, Arsene Wenger, Mbu, Kweli, Wacha1, Balantanda, Baba Mkubwa, Genekai, Questt, Bubu Ataka Kusema na Ng'wanza Madaso,....mzee Shedafa wa WHL na Acid wa Anfield na wengine wote ambao sikuweza kuwakumbuka kwenye post hii, I wish you and your loved ones a Merry Christmas and Happy New Year.