Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Siokweli ,nimeangalia crip zake uyo jamaa daaah ki ukweli hamna beki humo jamaa ni mzito hana stamina speed rate 0 bora mustafi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimuamini MTU kathibitishe mwenyewe , kamuangalie , utoe hukumu mwenyewe
Mkuu mara hii umeshaanza kum criticize mgeni? Me nadhani hadi timu imefikia hatua ya kumnunua Pablo nadhani kuna kitu potential walichokiona.nimeangalia crip zake uyo jamaa daaah ki ukweli hamna beki humo jamaa ni mzito hana stamina speed rate 0 bora mustafi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuu, ni kama ilivyotokea kwa Denis Suarez. Win win situationSiokweli ,
Hata Martinel mlisema hivo hivo,
By the way Pablo Marin on a 6 month loan deal w/ option to buy is sweet. If he plays shit, send him back to Flamengo. If he does well, sign him in the summer. It’s a win win
Pablo mari historia yake Fupi ameanza maisha ya mpra Mallorca kacheza Giaminstic Deportivo La coluna
Yah ndio maana Arsenal wame take risk , Aliyemuhitaji ni Arteta , Alikuwa anauzwa €30m , Arsenal wameshusha bei had €10m , hivo ni loan had summer Arteta akimkubali na kuingia kwenye mfumo wake , anatoa hiyo €10m , asipomkubali anarud kwao .Uko sahihi mkuu, ni kama ilivyotokea kwa Denis Suarez. Win win situation
Ushafika hukawii Cash money
Sent using Cash Money Wings
kwanini pablo mari na sio yule beki wa shaktar?!Flamengo CB, Pablo Marí, at the airport with Edu in Brazil yesterday evening. He'll arrive in London today for medicals etc. Seems he only cost €7.1m (£6m) and is due to sign a 3/4yr contract. View attachment 1333927
Sio huyo , japo na Huyo bado Anafuatiliwa ,Ofa imetumwa
Sio Maguire?
Ha ha ha,naipenda sana. Silaha yangu
Sent using Cash Money Wings
Nikitulia nitagoogle nimchek vzr!.. Kumbe jamaa anataka kutulisha matango pori hapa!.. Pia kwa vile anakuja kwa mkopo, akiunderperform atarudi kwao!. Nashukuru Mungu tunasajili hata kama ni mikopoUsimuamini MTU kathibitishe mwenyewe , kamuangalie , utoe hukumu mwenyewe
Huyu kamuhitaji Arteta mwenyewe ,ni LCB alikuwa nae man city japo hakucheza ,
Ni kweli kabisa ni upgrade ya mustafi ,Pablo Mari ni bora kuliko Mustafi na atakuwa msaada kwa timu.
Kwenye fainali kati ya timu yake ya Flamengo na Liverpool ya World Club Super Cup alicheza kwa uzuri kiasi cha kuwaweka Liverpool hadi muda wa nyongeza.
Arsenal pia wameangalia bei kwa beki wa Shaktar Mykola Matviyenko ambae umri wake mdogo unaweka gharama kuwa kubwa.
Hivyo huyu na William Saliba kwa msimu wa 2020/2021 Arsenal angalau wakakuwa na mabeki wa kati wa kueleweka.
Tukikamilisha hii kuna uwezekano mkubwa tukamalizia na usajili wa Thomas Lemar wa Athletico Madrid.
Deal za mkopo huwa nzuri coz tunamuevaluate mchezaji kwanza.Siokweli ,
Hata Martinel mlisema hivo hivo,
By the way Pablo Marin on a 6 month loan deal w/ option to buy is sweet. If he plays shit, send him back to Flamengo. If he does well, sign him in the summer. It’s a win win