Magazine Fire
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,364
- 1,475
Mkuu dirisha la January linafungwa lini?Shakhtar Donetsk want £30m for Arsenal target Mykola Matviyenko. [@SkySportsNews]
Mkuu dirisha la January linafungwa lini?Shakhtar Donetsk want £30m for Arsenal target Mykola Matviyenko. [@SkySportsNews]
Wewe kimbia na VAR mzee......Tunawasubiri, maana mbiyo za timu moja siyo mbiyo nzuri. Leteni upinzani.
Kwa dilisha hili hatuwezi sajili beki nazani tusubiri mpka dirisha kubwa.Tetesi ni nyingi sana hii timu tangu kipindi cha mzee Wenger naona ni kama kautaratibu flani kanaendelezwa tu tusajili beki aisee hali ni mbaya kule nyuma
kuhusu mbele hatujawahi kuwa na hilo tatizo ila nyuma ni mtihan tangu kipindi cha babu hadi leo hii na ndio kitu ambacho kimekua kinatukosesha makombe miaka nenda rudi tukisovu ishu ya beki tutavimba sana
Yangu ni hayo
#COYG![]()
![]()
Tatizo ilo dirisha kubwa linaweza kufika na tusisajili au tukasajili wazee kwa kisingizio cha 'uzoefu'Kwa dilisha hili hatuwezi sajili beki nazani tusubiri mpka dirisha kubwa.
Sawa tutahama mkuu....VAR is there to stay.
Hameni ligi tu kama hamtupendi na VAR yetu.
Nimeiona hii habar sehemu....yaani dogo kaanza kuwindwa sanaArsenal kumuongezea mshahara Mara 3 kinda Gabriel Martinel mwishoni mwa msimu ,
Madrid wanamuwinda kinda huyo ambaye inasemekana wapo tayari kutoa £50mView attachment 1331478
All football vipi... IjaribuMkuu nimekuomba jina la ile app yetu ya results na table kwa pamoja. Tafadhali mkuu leo unajisahau sana kutuwekea results.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii post nadhani umeisambaza thread zote za wapinzaniYaani siku hizi kutembelea threads za Man Utd, Arsenal, Chelsea na City inakuwa kama unaenda kufariji wagonjwa.
Jamani endeleeni kupambana, hata sisi tumetoka huku mliko.






Hii post nadhani umeisambaza thread zote za wapinzani
Sahivi mnajidai sana aisee,huko kwenu wapinzani hawakanyagi mnawafuata makwao.Kuna wapinzani hawaendi threads za mengine, nataka kila mmoja aupate ujumbe.
Sahivi mnajidai sana aisee,huko kwenu wapinzani hawakanyagi mnawafuata makwao.
mm namuamini Arteta atachukua watu na atafanya vzr zaidi next season we angalia tu saiz timu yetu inavyo cheza mipango inaonekana tatizo ni beki tu ndio tunafelishwa nazo.Tatizo ilo dirisha kubwa linaweza kufika na tusisajili au tukasajili wazee kwa kisingizio cha 'uzoefu'