Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu pepe anabadilika vzr tu,

Sema ana papara sana , Umri wake mdogo atabadilika tu
 
Ceballos' loan could be cancelled in January.
The Spaniard has been suffering from injuries this season.
He's yet to play under Mikel Arteta.
Dani Ceballos has hinted that his loan spell at Arsenal may be cut short this winter.
In reply to Hector Bellerin's post on Instagram the Spain international wrote: "I'll miss those goals with the left foot bro! You deserve all the good that happens to you."

Ceballos has been fit for several weeks now, but he is yet to make an appearance under Mikel Arteta. The 23-year-old midfielder was an unused substitute during the Gunners' 2-2 draw against Chelsea.
The Spaniard, who was signed on a season-long loan from Real Madrid, has made 17 appearances for the Gunners this season scoring one goal and making two assists.

Habari ndio hiyo, sina kawaida ya kuwalisha matango pori
 
MKUU MIMI UNANIONEA, HUWA SIJI HAPA KILA SIKU, MIMI NAKUJA HAPA "kuwacheka
" PALE MNAPOCHEMKA HASWA. KAMA JANA SIJAJA HAPA KWA SABABU NILIJUA MLIKUWA PUNGUFU NA MKAPAMBANIA DROO MKAIPATA. LAKINI SIKU MKICHEMSHA LAZIMA TUJEEEE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah kwaio jamaa kashindwa kuklik kwenye mifumo ya Arteta
 
Pepe katoka Lille sio Lyon

Pili unavyosema kuwa hawezi kubadilika unakosea......wangapi wamebadilika na tunawaona....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal have been told they must pay £4.2 million to finally secure a deal to sign PSG defender Layvin Kurzawa, according to The Telegraph.

The good news for the Gunners is that the Parisians are willing to let their player leave the club this month.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubali 110%, mwanzoni nilidhani ni maoni tu, kuna hater mmoja anaitwa "Mike Dean", aise sijawahi ona referee anaeichukia timu ya Arsenal kama yeye..
 
Nakubali 110%, mwanzoni nilidhani ni maoni tu, kuna hater mmoja anaitwa "Mike Dean", aise sijawahi ona referee anaeichukia timu ya Arsenal kama yeye..
Ukitaka kujua marefa wa EPL hawatupend katafute mech kati ya Arsenal na man u ,ile man u wanaisimamisha rekodi ya 49 unbeaten run ,

Tulipigwa viatu na kadi hazitoki, ilitakiwa 1st half man u awe amekula Red card hata 2 , Yule refa alipania tufungwe


Wenger alitoa maneno haya baada ya ile mechi

Arsène Wenger: “If I die, I am going to ask God where the referees are before choosing between heaven & hell.”
 
LEFT CENTER BACK


From
|| Arsenal are interested in Shakhtar Donetsk's 23yo CB (also can play LB), Mykola Matviyenko. His agent, Yuriy Danchenko, claims they've already had meetings with Arsenal.
 
Mykola Matviyenko's agent Yuriy Danchenko:



"My colleagues & I have been constantly in contact with representatives of #Arsenal, & have meetings. The Gunners' hierarchy have already contacted [Shakhtar] & we hope these negotiations will succeed"
 
NDIO MAANA MNAWACHUKIA SANA HAO WAJUBA..UNITED
Sent using Jamii Forums mobile app
 
MNACHEKESHA VITOTO HIVI VYA £4, HATA SAMATA AMEVIZIDI BEI NDIO VIPAMBANE EPL?
NA KENGINE HAKO HAPO MNAANZA KUKAVIMBISHA KICHWA ILI JANUARY IPITE BILA USAJILI BAADAE (March-May) MUANZE TENA KULIALIA NA MABANGO YA "ARTETA OUT"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…