synthesizere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2019
- 882
- 1,264
Tatizo katoka Auba anaingia Luiz lockupWakuu ni muda sasa nadhani umefika tuanze kushinda mechi ili tujivute kupanda juu zaidi
Maoni yangu naona Auba akirudi uyu lacazete akakae tu benchi Martinel aendelee kukiwasha kushoto pale mbele akae Auba mwenyewe
Hivi cebalos wakuu ni kwamba hajamuimpress Arteta mazoezini au bado yuko majeruhi? kwa wataalam hawez kuchukua namba ya ozil pale?
ULIULIZA JANA WHY WANA ARSENAL WENZANGU HAWANISAPOTI SIO WOTE ILA WANAOJITAMBUA WANAELEWA ILA AMBAO HAWANIELEWI TUTAENDELEA KUELEWANA MBELE YA SAFARI NAKUTAKIA USIKU MWEMA NAWAACHIA WENYE ROHO NGUMU MUIMALIZIE HII GAME SIONI KAMA KUNA JIPYA NA BADO TUPO PUNGUFU
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulikuwa nae mpaka FT.SARE NI MATOKEO MABOVU ILA KWA SARE YA LEO WACHEZAJI WANASTAHILI PONGEZI ILA BODI IACHE KUNYWA CHAI NA KUSOMA MAGAZETI IINGIE SOKONI HARAKA SANA SIKU 8 NI CHACHE SANA KUFANYA USAJILI TUNAHITAJI BEKI NA NAMBA 10 ZA HARAKA SANA BILA KUFUMBA MACHO PENYE KUSTAHILI KUPEWA PONGEZI HONGERA INATOLEWA BILA UNAFIKI LEO TUMEELEMEWA DK ZOTE ILA TUMEJITAHIDI LICHA YA SARE
CHELSEA 2 -2 ARSENAL FT KWA SARE YA LEO SI MATOKEO MABAYA KWA UJUMLA YA MECHI YA LEO
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami najiuliza kwenye hiyo aya yako ya mwisho.Wakuu ni muda sasa nadhani umefika tuanze kushinda mechi ili tujivute kupanda juu zaidi
Maoni yangu naona Auba akirudi uyu lacazete akakae tu benchi Martinel aendelee kukiwasha kushoto pale mbele akae Auba mwenyewe
Hivi cebalos wakuu ni kwamba hajamuimpress Arteta mazoezini au bado yuko majeruhi? kwa wataalam hawez kuchukua namba ya ozil pale?
Hivi sokatis hadi lini?
Moja ya matukio ya kushangaza kabisa katika sokaJana Everton ya Ancelotti mpaka dk 90 wqnaongoza 2 - 0 hahaaaaa likapigwa bonge la comeback within 120 seconds....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa
Ikikubali itakua ya Moto sana ila Pepe anapaswa kutulia na kuangalia jinsi uyu dogo Martinel anavyofanya mambo yake la sivyo ataendelea kua mtu wa vyenga na kufinya watu tuNaliangalia goli la martinel hapa ,kawatoa mbali wachezaji wa Chelsea ,
Nadhan Arteta soon atajaribu combination ya
Martinel Auba pepe ilikupata Pace
Pepe anatakiwa ajue sehemu ipi ni sahihi kufanya take ons na wapi pakutoa haraka pasi.Ikikubali itakua ya Moto sana ila Pepe anapaswa kutulia na kuangalia jinsi uyu dogo Martinel anavyofanya mambo yake la sivyo ataendelea kua mtu wa vyenga na kufinya watu tu
Yeah, Pepe bado kwenye maamuzi sio mzuri. Kuna sehemu za kuachia haraka anavuta, Ila still ni bonge la mchezaji.Pepe anatakiwa ajue sehemu ipi ni sahihi kufanya take ons na wapi pakutoa haraka pasi.
Arteta alisema atawarekebisha yeye na mwenzake Nelson
Ukiacha ufundi, Martinell ana spirit sana ya kupambana, anarudi nyuma kukaba.Anapambania timu, tumekosa hii spirit kwa wachezaji wengi sana.Ikikubali itakua ya Moto sana ila Pepe anapaswa kutulia na kuangalia jinsi uyu dogo Martinel anavyofanya mambo yake la sivyo ataendelea kua mtu wa vyenga na kufinya watu tu
Yawezekana ila uko sawa nawe, Mustafi na Luis ni liability kwa maoni yangu...
Huyu pepe sio wa kumlaumu kwa Sasa tumpe mudaKuna wachezaji wa Arsenal wanapata mishahara ya bure;
1. Mustafi
2. Ozil
3. Lacazette
4. Pepe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha unataka awe mzito sioPepe hatabadilika uchezaji wake ndio alivyo. Na huo uchezaji wake ndio ulimpa mafanikio makubwa Lyon mkamuona.
Na uchezaji huo huo akienda timu nyingine anaweza akapata tena mafanikio kama ya Lyon. Labda tuone Arteta atambadilishaje
Labda apewe vyakula vya kunenepesha, mwili uongezeke kilo, hapo atapunguza uharaka haraka.
Sent using Cash Money Wings