Mkuu sio siri uandishi wako unaboa sana, basi jaribu kuwaelewa wadau. Kwa nini uandike kwa maherufi makubwa mda wote.SAA NYINGINE NI HASIRA TU MZAZI SHDA NI BODI YETU NA RECRUITMENT YETU ACHA TUFURAHIE KWANZA MATOKEO KESHO NITARUDI VIZURI
Sent using Jamii Forums mobile app
WE MCHUMBA NIPOTEZEE BASIMkuu sio siri uandishi wako unaboa sana, basi jaribu kuwaelewa wadau. Kwa nini uandike kwa maherufi makubwa mda wote.
It's boring, na kama unaelewa kidogo tu basi utabadilika, kama unatafuta attention basi endelea maana naona utaipata.
Holding majeruhi yamemrudisha nyuma , next week FA atachezaKweli jamaa kacheza vizuri sana baada ya lile boko!.. Nadhani huko mazoezini jamaa anacheza vizuri ndio maana kocha anamuanzisha mbele ya holding.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe umeona tatizo kross tu ,ila marking anaifanya vzr sana , nadhan kuliko hata kolasinacHuyu dogo beki tatu ndio sehemu anayofiti zaidi, toka aanze kucheza hiyo nafasi hajawahi fanya makosa ya kijinga! Tatizo lake ni kwenye kupiga cross tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima kitu kidogo mkuu, sioni sababu ya kunitusi. Acha kutumia herufu kubwa, unaboa.
Bukayo Saka playing well again tonight, by the way.Huyu dogo beki tatu ndio sehemu anayofiti zaidi, toka aanze kucheza hiyo nafasi hajawahi fanya makosa ya kijinga! Tatizo lake ni kwenye kupiga cross tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pepe ni fala hadi afinye mtu ndio afurahi mambo mengi yule
Huyo jamaaa ni wale watu wanaofurahi kuwakera wenzao issue ya kutumia erufi kubwa wamemwomba aache lkn amegoma.Milango Mitatu huwezi kuandika kwa herufi ndogo Ndugu!!!Uandishi gani huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uzi kama uzi Arsenal na Spurs nawaaminia sana mpo top2020/2021 Home kit leakedView attachment 1330264
uwa sisomi posts zakeHuyo jamaaa ni wale watu wanaofurahi kuwakera wenzao issue ya kutumia erufi kubwa wamemwomba aache lkn amegoma.
Badilika kwenye uandishi wako mkuu maana mtu ambae alielimika shule ya msingi hawezi kutumia namna ya uandishi wako weka settings kwenye keyboard yako vizuri
Mzee ukitumia herufi ndogo utafanya nini? Maybe unatengeneza identity lakini hayo maandishi yanaboa sanaMIMI SIO MNAFIKI KAMA WEWE WA KUPENDA KUSIFIWA SIFIWA AU KUSIFIA KITU BILA SABABU ZA MSINGI KUSHINDA HATUJASHINDA NA HIZO NAMBA ZINAHITAJI WATU FASTA FASTA
ULITEGEMEA LEO NITAYAPONDA MATOKEO UNASHANGAA NAYAFURAHIA SABABU MIMI SINAGA UNAFIKI UNAFIKI KAMA KITU HAKIPO SAWA NTAKISEMA TU
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka hapo kwa Luiz ulikua una maanisha Mustafi.All and all game ilikuwa tamu. Mabeki wameumia ndiyo maana Luis anapata namba. Well done arsenal considering all misfortunes.
We are arsenal till we die..
COYG..