The Gunners
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 220
- 438
Mkuu unaweza kuwa na hoja ila aina ya uandishi wako wa herufi kubwa unaumiza katika usomaji, hivyo kama inawezekana badili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekua kama fala flani kujiangusha angusha tu na kupaisha mipira
Kaongea ukweli dhahiri....Acha kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Sent using Cash Money Wings
Yaani naahangaa siju kaweje dah....huyu ndio ilitakiwa akomae pale mbele ili madogo martinelli na wengine wakaze zaidi,Amekua kama fala flani kujiangusha angusha tu na kupaisha mipira
Huyu ni Auba mpya!..HIKI KIPAJI TUKITUNZE HATUKUKOSEA USAJILI WAKE
hatukukosea kutoa £6m usajili wa kijana huyu kimsingi ni potential na vijana wetu hale end wajifunze je ni nani huyuhuyu hapa
#GABRIELARTINELL
ni mchezaji ambaye binafsi niseme ni #special_talent sijawahi kuwa na wasi wasi na,wabrazil walio wengi
ni kijana wa miaka 18 tu lakini cheza yake unaweza kusema ni ameisha kuwa matured enough
nikimuangalia gabriel napata tafsiri sahihi ya mpra kipaji na kujituma huyu anatumikia zaidi kipaji chake kuliko maswala mengine
naiona future nzuri kama tutamtumia kwa usahihi ni mzuri zaidi akicheza kama central forward anajua kujiposition anajua kutumia nafasi
licha kwamba hapa kwetu anatumika zaidi kama wing forward ila bado ni mzuri vile vile ana kasi ana dribbling skills kimsingi hii ni dhahabu
cha msingi zaidi tuitumie wakati sahihi kutunufaisha sisi (ata auba kamsifu dogo yupo #aggresive sana)
Note : mtazamo wangu huyu ni mzuri kuliko academy graduate wetu wengi
View attachment 1329280
Kweli hatuwezi bishana, ila mimi nawaangalia Gunners wale "Invincibles" pale Filbert Street Leicester, nikiwa tayari nimesoma, nimeoa nina watoto wawili, nimejenga boma langu, wewe ulikuwa na miaka mingapi kaka?SASA WEWE UMEZALIWA 2002 TUTABISHANIA NINI KUHUSU ARSENAL?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lake anadhani yeye ndio shabiki mkongww wa Aesenal kumbe ni wa juzi tu!Kweli hatuwezi bishana, ila mimi nawaangalia Gunners wale "Invincibles" pale Filbert Street Leicester, nikiwa tayari nimesoma, nimeoa nina watoto wawili, nimejenga boma langu, wewe ulikuwa na miaka mingapi kaka?
Haya bhana jiraniAcha kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Sent using Cash Money Wings