Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Wala hujakosea , Soon tutajenga team ya ushindanigunners wenzangu hata ROMA haikujengwa kwa siku moja tukaze mioyo
football ni tactics na inachukua muda mpaka kulaydown foundation ya tactic ktk timu husika..
unaweza ukawa na tactics nzuri ukakosa wachezaji wazuri vilevile unaweza ukawa na wachezaji wazuri ukakosa tactics so its all about finding the balance
once gooner always gooner
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah hili deal lingekua poa kama angekuja January hii, jinamizi la left back bado linaendelea kutuandama.Kurzawa kujiunga mwishino mwa msimu June
According to France Football information Kurzawa will join Arsenal in June on a free. Player is in advanced negotiations with agreed and both parties close to agreeing a 5 year deal for Kurzawa to join Arsenal in June .
Inaonesha KT anarudi mapema , hivo Arsenal inapanga summer kumuuza kolasinac ,halafu kurzawa ajeDaah hili deal lingekua poa kama angekuja January hii, jinamizi la left back bado linaendelea kutuandama.
Sent using Jamii Forums mobile app
DahFrance football: Kurzawa dili la miaka mitano limekamilika free transfer at juneView attachment 1326219
Wasimuuze....kwan wenyewe hawataki kikosi kipanaInaonesha KT anarudi mapema , hivo Arsenal inapanga summer kumuuza kolasinac ,halafu kurzawa aje
Kuwa na mabeki watatu wa pemben , kuna mmoja hawez kukubali awe chaguo la 3Wasimuuze....kwan wenyewe hawataki kikosi kipana
Sasa hivi tuna wawili, ila Shaka anacheza kushoto.Kuwa na mabeki watatu wa pemben , kuna mmoja hawez kukubali awe chaguo la 3
AINS-MAINTLAND NILES HUYU KIJANA HUWA ANAKUMBWA NA NINI?
niles ni muingereza huyu pengine ndio product za hale end hizi alianza kupewa senior team debuts chini ya wenger
ila number yake asilia ni CM huyu sema kabarikiwa tu kupata ile kitu tunaita versatility ( kiraka)
cheza yake yote niles kwa asilimia kubwa anacheza kama versatile player na sio nafasi yake halisia anajitahidi
baadhi ya game kweli unaona ana ambition na aggresive kiuchezaji lakini niles amekuwa inconstent hayupo kwenye kiwango kile kile muda mrefu
lakini chini ya arteta naona kadilika kiasi je ataweza kuwa static kwenye kiwango alicho nacho kwa sasa au atarudi kule anapokuwa?
View attachment 1326542
Wasimuuze....kwan wenyewe hawataki kikosi kipana
Upo sahihi kabisa. Kama huyo Kurzawa angekuja angecheza kipindi hiki, KT na Kola wanamajeraha muda mwingi sana wa msimu.Kumuuza kolasinac litakuwa kosa kubwa na watakuja kujuta unless if he is pressing to leave
Uyu KT anaonekana mtu wa kuumia umia sanaUpo sahihi kabisa. Kama huyo Kurzawa angekuja angecheza kipindi hiki, KT na Kola wanamajeraha muda mwingi sana wa msimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tierney,Kolasinac akiongezeka na huyo kurzawa
Hamna kiraka hapo?Kuwa na mabeki watatu wa pemben , kuna mmoja hawez kukubali awe chaguo la 3
Hata mimi siungi mkono hojaKumuuza kolasinac litakuwa kosa kubwa na watakuja kujuta unless if he is pressing to leave