milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
ANGALIA TIMU ZA WENZETU ZINAVYOFANYA KAZI MFANO MATTEO ALIKUWA ANAFIT KWENYE MFUMO WA ARSENAL??HILI SINA HAKIKA NALO KWA KWELI ILA USAJILI UFANYIKE ZILE SEHEMU AMBAZO ZINAPWAYA MFANO SISI TUNA FORWAD KALI SANA MTU 3 PALE MBELE ILA JE OZIL WA SASA ANAWEZA AKAWA MSAADA KWAO?HILI PIA SILIONI SABABU OZIL WETU KAZIDIWA HATA NA TREND ARNORD KWA ASSIST WAKATI MISIMU YA NYUMA ALIKUWA NI MKALI SASA AMESHUKA KIWANGO SANA TUNAISHIA KUKARIRI KWA ALIYOYAFANYA YA NYUMAAngalia baryen wamemkataa Timo Werner sababu haingii kwenye mfumo wao
Watu wa mpira hawa, wamemkataa Timo Werner , Hapo baryen, Sio unasajiri tu.
Nimeona Jana Chelsea imejitoa kwa Ake, Maskauti wamemwambia Lampard kuna option nyingine nzuri wameziona.
Hasan Salihamidzic told us his reason why Werner does not fit the Bayern-System: „With his pace, Timo Werner needs more space, which he had in the system that Leipzig played. The system at RB has now changed, but it's still not as tight up front as it is with us" @SPORTBILD
Kwan Ukitoa KDB nan kiungo wa timu nyingine unazozijua anamzid TAA assist? Au hujui Fullbacks wa kisasa wanashambulia na wanaasist kibao kuliko viungo?ANGALIA TIMU ZA WENZETU ZINAVYOFANYA KAZI MFANO MATTEO ALIKUWA ANAFIT KWENYE MFUMO WA ARSENAL??HILI SINA HAKIKA NALO KWA KWELI ILA USAJILI UFANYIKE ZILE SEHEMU AMBAZO ZINAPWAYA MFANO SISI TUNA FORWAD KALI SANA MTU 3 PALE MBELE ILA JE OZIL WA SASA ANAWEZA AKAWA MSAADA KWAO?HILI PIA SILIONI SABABU OZIL WETU KAZIDIWA HATA NA TREND ARNORD KWA ASSIST WAKATI MISIMU YA NYUMA ALIKUWA NI MKALI SASA AMESHUKA KIWANGO SANA TUNAISHIA KUKARIRI KWA ALIYOYAFANYA YA NYUMA
KWA SASA TUNAHITAJI BEKI NAMBA 2 MKALI BEKI YA KATI MMOJA MKALI NA MIDDLE HASA NAMBA 10 LAKINI HAYA NI MAWAZO YANGU MIMI BINAFSI
Sent using Jamii Forums mobile app
SIJATOA LAWAMA KAKA ILA OZIL TANGIA MSIMU ULIOPITA HADI SASA ANA ASSIST NGAPI?LABDA KAMA NA DATA AMBAZO SI ZA KWELI ILA NA UHAKIKA HANA ZAIDI YA ASSIT 6 TOKA MSIMU WOTE ULIOPITA HADI HUU WA SASA UNAOENDELEA SILAUMU ILA NAONGEA UKWELIKwan Ukitoa KDB nan kiungo wa timu nyingine unazozijua anamzid TAA assist? Au hujui Fullbacks wa kisasa wanashambulia na wanaasist kibao kuliko viungo?
Punguza lawama nyingi
KAZI IPO JEMBE HATAKUWEPO HAKUNA MASHAMBULIZI TENA YA MAANA UPANDE WA KUSHOTOKolasinac ruled out of Sheffield United game with a thigh injury. With Tierney also out, likely Saka could come in at left-back. #AFC
LB saka, sina wasiwasi nae kwenye kukaba, labda kross ,KAZI IPO JEMBE HATAKUWEPO HAKUNA MASHAMBULIZI TENA YA MAANA UPANDE WA KUSHOTO
Sent using Jamii Forums mobile app
ACHANGAMKE SASA ILA SABABU NAONA NAMBA 3 SI YAKE ACHA TU ACHEZE HVYO HVYO ASIPANDE SANA KUSHAMBULIALB saka, sina wasiwasi nae kwenye kukaba, labda kross ,
Cha ajabu kule kwenye youth team, cross ndio ilikuwa dhana yake kubwa
Kweli ulichoongea mkuu. Comment zake zote tuzichumie. Tufanye kama hatuzioni vile. Maana ataki kubadilika kabisa wadau wamemwomba aache kutumia herufi kubwa hasikii nadhani ni wale wanaopenda kukela watu.Huyu inawezekana siyo shabiki wa Arsenal, maana anaishambulia timu kila siku zaidi hata ya ARV na wale akina Cash money!.. Yaani huyu timu inaweza kuwa inajiandaa na next mechi lakini yeye akaja na coment kuonyesha tuna timu ngumu na hatuwezi kushinda, na pale tunaposhinda yeye anaona tumeahinda kwa bahati!.. Usije ukashangaa huyu akawa anaombea tufungwe ili aonekane anajua!.. Bila shaka ile game ya palace alifurahi na akaanza kutirirka hapa kuwa timu ni mbovu!.. Huyu cha msingi ni kuachana nae!.. Kwanza mkuu huyu kaibuka ghafla hapa na anachofanya ni kutaka kutuondolea furaha yetu kwa comments ambazo kimsingi zilitakiwa zitolewe na mahasimu wetu!..
Sent using Jamii Forums mobile app