Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hamia kwa wanawake mzee,maana huku kiumeni hakunaga kulialia

Sent using Jamii Forums mobile app
SASA HIVI UMEISHIA TU KUNIATTACK SIONI POINTS UNAZOZIANDIKA TENA POLE SANA SABABU UNAJUA TIMU YETU HAINA MWELEKEO HVYO HATA KUZUNGUMZIA MECHI YA JMOSI UNAONA HAUELEWI NINI KITATOKEA ILA NAONYA SHEFFIELD UNITED NI WAGUMU HAO BALAA LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA NA PIA NI LAZIMA TUSHINDE DHIDI YA HAWA JAMAA MAANA GAME YETU IJAYO NI DHIDI YA CHELSEA

Wote hao tutawapiga tunachukua point sita swaaafi kabisa
 
SASA HIVI UMEISHIA TU KUNIATTACK SIONI POINTS UNAZOZIANDIKA TENA POLE SANA SABABU UNAJUA TIMU YETU HAINA MWELEKEO HVYO HATA KUZUNGUMZIA MECHI YA JMOSI UNAONA HAUELEWI NINI KITATOKEA ILA NAONYA SHEFFIELD UNITED NI WAGUMU HAO BALAA LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA NA PIA NI LAZIMA TUSHINDE DHIDI YA HAWA JAMAA MAANA GAME YETU IJAYO NI DHIDI YA CHELSEA

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna la maana ,huna jipya kila siku yaleyale unalialia hovyo humu mtoto wa kiume...unalilia wachezaji wa paun 100 wakati hata sumni huchangii....

Kikubwa hujui lolote kuhusu soka kama lina sheria,kanuni na taratibu zake,wewe ndio aina ile ya wanawake wanaopenda vitu vya gharama pasipo kuzingatia uwezo wa waume zao....
Huelimishiki ,hufundishiki.....
Hakuna mtu ambaye hajui kuwa timu inahitaji usajiri wa watu wapya lakini lazima uzingatie uwezo wa timu kifedha lakini pia kanuni na taratibu zilizopo,na kwakuelewa hayo ndio maana unaona wengi wetu tumetulia sasa wewe kila kukicha kulialia humu...sisi hatuna na kukusaidia,vilio vyako peleka kule katika official web ya Arsenal kina Raul watakusaidia........

Huyu inawezekana siyo shabiki wa Arsenal, maana anaishambulia timu kila siku zaidi hata ya ARV na wale akina Cash money!.. Yaani huyu timu inaweza kuwa inajiandaa na next mechi lakini yeye akaja na coment kuonyesha tuna timu ngumu na hatuwezi kushinda, na pale tunaposhinda yeye anaona tumeahinda kwa bahati!.. Usije ukashangaa huyu akawa anaombea tufungwe ili aonekane anajua!.. Bila shaka ile game ya palace alifurahi na akaanza kutirirka hapa kuwa timu ni mbovu!.. Huyu cha msingi ni kuachana nae!.. Kwanza mkuu huyu kaibuka ghafla hapa na anachofanya ni kutaka kutuondolea furaha yetu kwa comments ambazo kimsingi zilitakiwa zitolewe na mahasimu wetu!..

AHAAA KUMBE SASA MIMI NIMESEMA LAZIMA MCHEZAJI LAZIMA AWE WA PAUNDI MIA?TORREIRA AUBA WAMENUNULIWA KWA PAUNDI MIA?AISEE KICHWA CHAKO KUNA NATI IMELEGEA TUNACHOSEMA TUNUNUE WACHEZAJI AMBAO WANAJUA WANATAKA NINI KWENYE MPIRA KWANI UPCAMENO DAU LAKE NI PAUNDI MIA?DUH KUMBE NABISHANA NA CHIZI TU

Yaani humu ndani wote wanakuona wewe ni kichaa...amka..

Kwahiyo hujui kuwa usajiri ni kamari????huyu Mustafi tunayemtusi leo anaweza kwenda Timu nyingine akashine na ukatamani arudi.....huyo Upamecano unayesema anaweza akaja na akaflop....wewe ni bure kabisa,na ndio maana nikakwambia haya makelele yako ya maherufi makubwamakubwa kama unajifunza kuandika ni bora ukapeleka direct katika uongozi wa klabu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu inawezekana siyo shabiki wa Arsenal, maana anaishambulia timu kila siku zaidi hata ya ARV na wale akina Cash money!.. Yaani huyu timu inaweza kuwa inajiandaa na next mechi lakini yeye akaja na coment kuonyesha tuna timu ngumu na hatuwezi kushinda, na pale tunaposhinda yeye anaona tumeahinda kwa bahati!.. Usije ukashangaa huyu akawa anaombea tufungwe ili aonekane anajua!.. Bila shaka ile game ya palace alifurahi na akaanza kutirirka hapa kuwa timu ni mbovu!.. Huyu cha msingi ni kuachana nae!.. Kwanza mkuu huyu kaibuka ghafla hapa na anachofanya ni kutaka kutuondolea furaha yetu kwa comments ambazo kimsingi zilitakiwa zitolewe na mahasimu wetu!..

Sent using Jamii Forums mobile app
MIMI NAIPENDA ARSENAL TANGIA 98 HADI LEO HII ILA ARSENAL YA 98 HADI 2006 NA 2007 HADI SASA NI KAMA MBINGU NA ARDHI KAMA WEWE UMEANZA KUFUATILIA MPIRA WA ARSENAL 2010 HUTAKUWA UNAJUA BAINA YA HIZI TIMU 2 TOFAUTI NA PIA UNAWEZA UKAWA UNAISKIA UNBEATEN STORY ILA HUJAISHUHUDIA NA GAME 2 ZA UNBEATEN STORY AMBAZO ZILITEKA DUNIA NI
TOTTENHAM KWAO 4 -5
MANCHESTER UNITED VAN NISTEROOY AKAKOSA PENALTY

NIMEKUPA TAKWIMU CHACHE TU HAPO SASA HIVI WACHEZAJI NI LAINI MNO NDO MAANA HATA WACHAMBUZI WENGI UTASKIA LEO ILIKUWA NI MECHI KATI YA WAVULANA (ARSENAL)NA WANAUME LABDA TIMU KUBWA ZINGINE SABABU UNAIJUA?NTAKUSAIDIA HAPO CHINI

SABABU NI KUWA ARSENAL YA ZAMANI ILIKUWA NA WANAUME WANAUME HASA KUANZIA KIPA HADI FOWARD NOW ARSENAL IMEBAKI LABDA WANAUME WA 3 WOTE WALIOBAKIA NI WAVULANA WANAOCHEZEA ARSENAL NA KUVAA JEZI LAZIMA TUSAJILI WANAUME NA NDO MAANA KUNA KIPINDI LAUREN ALIKOSAGA PENALTY DHIDI YA ROMA(SINA HAKIKA) TUKATOLEWA ILA WAPO KWENYE NDEGE VIEIRA AKAMPA NGUMI LAUREN WATU WAKASHIKANA MASHATI NDEGE IPO JUU SASA HIVI NANI ARSENAL YETU ANAWEZA AKAFANYA HVYO HAKUNA

DENNIS BERGKAMP ALIKUWA MWANAUME (OZIL MVULANA) LAUREN ALIKUWA MWANAUME (NILES MVULANA)VIERA ALIKUWA MWANAUME (TORREIRA MVULANA)WINTERBURN ALIKUWA MWANAUME (TIERNEY MVULANA) ADAMS ALIKUWA MWANAUME (LUIZ MVULANA)PIRES ALIKUWA MWANAUME (PEPE MVULANA)

ARSENAL MWANAUME KWA SASA NI SAED KOLASINAC AKIFUATIWA NA LACAZETTE NA PIERRE NA LENO KWA MBALI BASI

HALAFU UNANICHEKESHA SASA SISI ARSENAL TUNAFURAHA GANI ?KUWA POINTS SAWA NA SOUTHAMPTON?KUWA NAFASI YA 10?KUTOA DROO 10 EPL TUNAONGOZA KWA DROO?FURAHA IPI WAKATI TIMU HAITABIRIKI HII

HAYA YOTE NAONGEA FACTS SABABU UNAWEZAJE BODI MKAKUBALIANA NA UJINGA WA KUMCHUKUA MCHEZAJI LEAGUE 2 NA AKAJA DIRECT FIRST ELEVEN THEN MNASEMA TUNATAKA UBINGWA?HAYA YOTE TUNAONGEA MIAKA NA MIAKA SIONI IMPROVEMENT YOYOTE YA ANGALAU TUSEME MSIMU HUU TUNAPIGANIA EPL SISI HUWA KILA SIKU TUNAPIGANIA TOP 4 THAT'S NONSENSE TO ME KWA SHABIKI NAYEJITAMBUA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
milangomitatu anaongea kitu inaitwa mpira, black and white. Lakini mashabiki wa arsenane, wanataka kuongea soccer la kimahaba kwenye litimu lao ambalo bado ni libovu. Wao wana guilts za unai emery, wakati ashasepeshwa. Kwa hiyo hata arsenane akifungwa leo, wanataka ueleze namna arteta anavyotengeneza mfumo ule uliopotea, na hichi kitu Aaron anakiweza, ila huwa anakula kona iwapo timu imefungwa. Kwa hiyo kiufupi milangomitatu ana uchungu na arsenal ya kina viera irudi, na siyo blah blah blah

ASANTE KAKA WATU KAMA DULLY JR NDO WANATUFANYA TUCHEKWE MTAAANI OHH HAMNA CHAMPIONS LEAGUE MARA MIAKA 16 EPL HATUNA NA UKIANGALIA BODI HAINA NIA KABISA YA MAKOMBE LABDA TUMSUBIRI DANGOTE

Tunaheshimu mawazo yako Nyumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ASANTE KAKA WATU KAMA DULLY JR NDO WANATUFANYA TUCHEKWE MTAAANI OHH HAMNA CHAMPIONS LEAGUE MARA MIAKA 16 EPL HATUNA NA UKIANGALIA BODI HAINA NIA KABISA YA MAKOMBE LABDA TUMSUBIRI DANGOTE

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unanikosea sana,hivi mimi ndio nimeifanya timu isichukue UCL kweli!!!!???hahahahahahaahahhaahaha ndio maana nasema wewe ni wakuangaliwa sana....

Unasema Arsenal ya 2007 kurudi nyuma ndio ilikuwa ya wanaume sasa mbona haikuchukua UCL???? au hujui kwanini???

Mpira una zama zake mzee???hao watu wagumu wagumu niambie wapo wapi now days????
Ac milan ina hao watu wagumu Leo aina ya Gattuso na Maldini na kina Seadolf?Juve kuna watu aina ya Pavel Nedved na Del Piero?Porto kuna wanaume kama kina Postga?Man utd kuna watu aina ya Jaap Stam na Roy Kean?inter kuna aina ya kina zambrotta leo hii?Chelsea kuna watu aina ya Dan Petrescu,Didier Deschamps na Tole Andre Flo?????

Soka la sasa na hii VAR???????

Hawa kina Ozil,unaowaita wavulana ndio zama zao .......

Wewe huna ulijualo utakuja kujinyonga bila sababu na Arsenal itaendelea kuwepo,

Amka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye kupata WANAUME wa shoka zama hizi itakuwa ngumu kidogo. Mifumo ya uchezaji, mbinu, falsafa zimebadilika.

Unakuta mwanaume kama YAHAYA TOURE anakosa namba kwenye kikosi cha pep. Wakina Wanyama wanapigwa bechi.

Vimbao mbao kama wakina Marhez wanawasha moto. Mifumo ya sasa hivi haitaji wachezaji wakubwa, wazito na minguvu kama ya zamani.

Sasa hivi watu wanakaba njia, wanafunga kwa pasi sio kama zamani Didie Drogba anataka kuuana na kina sol campbell.

Sent using Cash Money Wings
Asipoelewa hapa basi ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal have unusually called a press conference with Mikel Arteta for 2:30pm today. [@Journo_Slash] #afc
 
Hapo kwenye kupata WANAUME wa shoka zama hizi itakuwa ngumu kidogo. Mifumo ya uchezaji, mbinu, falsafa zimebadilika.

Unakuta mwanaume kama YAHAYA TOURE anakosa namba kwenye kikosi cha pep. Wakina Wanyama wanapigwa bechi.

Vimbao mbao kama wakina Marhez wanawasha moto. Mifumo ya sasa hivi haitaji wachezaji wakubwa, wazito na minguvu kama ya zamani.

Sasa hivi watu wanakaba njia, wanafunga kwa pasi sio kama zamani Didie Drogba anataka kuuana na kina sol campbell.

Sent using Cash Money Wings
Angalia baryen wamemkataa Timo Werner sababu haingii kwenye mfumo wao

Watu wa mpira hawa, wamemkataa Timo Werner , Hapo baryen, Sio unasajiri tu.

Nimeona Jana Chelsea imejitoa kwa Ake, Maskauti wamemwambia Lampard kuna option nyingine nzuri wameziona.

Hasan Salihamidzic told us his reason why Werner does not fit the Bayern-System: „With his pace, Timo Werner needs more space, which he had in the system that Leipzig played. The system at RB has now changed, but it's still not as tight up front as it is with us" @SPORTBILD
 
Arsenal wameitisha mkutano na waandishi wa habar baadae Leo. Haijulikani haswaaa kuna nn cha kuzungumzaa
 
Guardian: Arsenal are ready to battle Manchester United for James Maddison – though that will have to wait until the summer.
 
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 | #AFC

An Arsenal source has told Football Insider how James Maddison is a key target for Mikel Arteta. He has told friends he is plotting a big push to land him later in the year [@SportsPeteO]
 
Hapo kwenye kupata WANAUME wa shoka zama hizi itakuwa ngumu kidogo. Mifumo ya uchezaji, mbinu, falsafa zimebadilika.

Unakuta mwanaume kama YAHAYA TOURE anakosa namba kwenye kikosi cha pep. Wakina Wanyama wanapigwa bechi.

Vimbao mbao kama wakina Marhez wanawasha moto. Mifumo ya sasa hivi haitaji wachezaji wakubwa, wazito na minguvu kama ya zamani.

Sasa hivi watu wanakaba njia, wanafunga kwa pasi sio kama zamani Didie Drogba anataka kuuana na kina sol campbell.

Sent using Cash Money Wings
KUWA MWANAUME SI LAZIMA UWE KAMA HAO YAANI MWILI MKUBWA HAPANA MAANA YANGU NI KUWA MUDA WOWOTE UKIINGIA UWANJANI UNAJUA UNAENDA VITANI MFANO AGUERO NI MWANAUME NA NIKASEMA ARSENAL MWANGALIE KOLASINAC NKATOA MFANO NI MWANAUME YAANI NI FIGHTER MNO MNO ANAJUA TIMU INATAKA NINI NDIO MAANA YA KUWA MWANAUME WA SHOKA ILA ARSENAL WACHEZAJI WAKE WENGI NI WAVULANA SIO FIGHTER GUARDIOLA AU KLOPP HATAKI WAVULANA ANATAKA WANAUME LICHA HAWANA MIILI MIKUBWA YAANI UKIINGIA UWANJANI KAFANYE KAZI YAKO NDO MAANA NKASEMA MTU KAMA VIEIRA ALIKUWA AKIINGIA UWANJANI ANAJUA ANAENDA KUFANYA NINI ILA SASA HIVI WACHEZAJI WETU WENGI NI KAMA HOMA YA VIPINDI LEO MZURI KESHO BOKO HANA CONSISTENCY MFANO KOMPANY ALIKUWA ANAJUA AKIINGIA UWANJANI ANATAKA NINI YAANI NI USHINDI KWANZA ANAWAZA ILA PIA CHEKI WACHEZAJI WETU WALIVYO LAINI LAINI MFANO GOLI 2 KATI YA 3 DHIDI YA MANCHESTER CITY DE BRUYNE ALIFUNGA ILA KAANGALIE WAKATI MATTEO ANAMKABA DE BRUYNE NINI KILIHAPPEN!!!!!!

HICHI NDO NLIKUWA NAMAANISHA NA HAO WACHEZAJI WA ZAMANI NLIOWATAJA WA ARSENAL UKILINGANISHA NA SASA UTAPATA MAJIBU KAMILI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom