Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika ya 60 fanya mabadiriko Wenger hakuna jipya zaidi ya kujiongezea presha wenyewe.tunagawa mipira hovyo.
 
Huyu Fabregas kapona vizuri au ndio tunamuharakisha ? asije akajiumiza zaidi ikawa longterm injury.
 
If you're attacking, you don't get as tired as when you're chasing.
 
Three lungs Park

...huyu jamaa yenu kawa mwiba siku hizi langoni mwa Arsenal...
Anyway...bado na imani na dakika zilizo salia...Reserve Bench 'limenona.'

 
huyu mshika kibendera mpumbavu nini? clichy kateleza na mpira umepigwa ukamgonga mkononi sio kwamba kashika maksudi.
 
Aaaaarrrrrrrrggggghhhhh!....It is over! :angry:
 
he he he!,....hizi soft penalties bana,...haya sasa kakosa.
Tukisema wanabebwa watu watasema tuna majungu.
 
What is that?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Bora Drogba almpa kipa jana! Rooney kwisha kazi.
 
WOW!...lucky us! but we need more efforts to salvage a point....15 minutes to go.
 
Leo kwa kweli Arsenal haijacheza vizuri na labda wajaribu kutafuta la kusawazisha na la ushindi.
 
Naona wachezaji wenu wanajaribu mashuti ya nje ya box leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…