Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
huku kitambulisho cha taifa hujapata..huku unajifanya kushabikia Leeds united..ulitegemea nini aisee ona sasa unalala na hasira..
na hapo laini yako ipo mbioni kufungiwa
huku kitambulisho cha taifa hujapata..huku unajifanya kushabikia Leeds united..ulitegemea nini aisee ona sasa unalala na hasira..
Wala hujakosea Huyo Marcelo Biesla anajua sana kuweka mpira chiniGuardiola anakwambia biesla ndo kocha bora zaidi duniani.... Leeds anaongoza championship kama kumbukumbu zangu zipo sawa anayemfuatia ni west brom ana GD ya 4...Yeye ana 24.....Japo tumecheza vibaya ila kwangu Leeds ni timu nzuri..
Unaongea bila facts, sio kila timu ya championship ni uchochoro. Leeds ni timu nzuri, rejea 2012 walipocheza tena hadi Henry akafunga Kwa mbinde.HATUTAKIWI TENA KUWA POYOYO MARA KWA MARA TULITAKIWA LEEDS UNITED KIPINDI CHA KWANZA KALA GOLI 2 AU 3 BILA HAYA MAMBO YA KUJARIBU MARA BAADAE TUNAIBUKA HAYAFAI HALAFU ARSENAL YA SASA INABIDI IWE INAMALIZA MPIRA MAPEMA SABABU HATUNA UWEZO WA KUCHEZA FULL 90 MIN MFANO DHIDI YA CHELSEA KIPINDI CHA PILI TUKAPOTEANA TUKAPIGWA DHIDI YA MAN U KIPINDI CHA PILI TUKAPOTEANA TENA LEO KIPINDI CHA KWANZA NI MARTINEZ NDO AMETUFANYA TUSHINDE HII SI PICHA NZURI KABISA LEEDS UNITED NAIFAHAMU SANA ILA WAKATI WA MZEE WENGER EMIRATES PALIKUWA NI MACHINJIO MAMBO KAMA HAYA KUZIDIWA HIVI KAMWE KAMWE USINGEYAONA
ARTETA KAMA ANATAKA KUTUNZA HESHIMA YAKE BASI HANA BUDI KUPIGIANA KELELE NA BODI KUHUSU KUPATA NEW PLAYERS KWA SASA
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anawadharau Leeds tena wenye kocha Marcelo BieslaUnaongea bila facts, sio kila timu ya championship ni uchochoro. Leeds ni timu nzuri, rejea 2012 walipocheza tena hadi Henry akafunga Kwa mbinde.
Tusiongee tu eti kwa vile tunacheza na championship team basi tuwaburuze, Leeds is a great team.
Kwanza give credit kwamba tumemaliza bila kuruhusu goli, despite pressure ilivyokuwa first half. Then it's our second win in a row, katika mechi nyingi. Angallia positives kabla hujaanza criticism, ni game ya tatu kwa jamaa, anafanya tactical changes kuisoma timu yake.
Tatizo hatuna mabeki...mfano RB wote wabovu kocha anaintroduce mfumo kutokana na wachezaji alionao.....ila huyu Nelson kwanini asipelekwe hata huko championship kwanza????jamaa kama hali vizuri yaani anadondoka hovyohovyoUnajua nini mi kocha nimemuelewa... First half tulikuwa hohehohe.... Ameusoma mchezo na kipindi cha pili ndo kama ulivyoona.... Ila huu mfumo wa mabeki 3 sidhani kama unamfaa sana Arteta.... Tungekutana na timu kama City au Liver mechi ingeisha first half.
Huyu Nelson alikuwa anacheza wingback gani ile?mbona muda mwingi alikuwa upande ule wa kolasinac......huyu apelekwe hata Preston huko kwa mkopoWewe ndio umeeleza vzr
Tumetumia back 3 sababu belle anaumwa
Beki namba 2 pekee ni Niles
Aliingia na back 3 ,wingback alikuwa kola na Nelson
Nelson sio wingback kiuhalisia ndio maana Leeds walitumia huo mwanya
But Nilijua 2nd half Arteta atafanya changes ,
Gunduz akapewa kaz ya kuchafua kati , nelson akapanda ,na wote wakatakiwa kuwa wanarud kukaba
Nadhan 2nd half umeona U tofauti
Mikel Arteta:
"I think we saw two different teams tonight [First half and second half]. When we changed our attitude and desire, we were a totally different team."
Wewe kuwa na akili basi Arsenal ni timu kubwa EPL sawa kama tungekuwa tumezidiwa home kwa LEEDS UNITED hilo nisingekuwa na shaka nalo kabisa sababu kuwa home ni moja ya advantage kubwa ishu hapa ni kuzidiwa EMIRATES almost kila kitu tumezidiwa pass ball possession shorts yaani kila kitu tumezidiwa EMIRATES hyo ndo hoja yangu tena na timu ya CHAMPIONSHIPUnaongea bila facts, sio kila timu ya championship ni uchochoro. Leeds ni timu nzuri, rejea 2012 walipocheza tena hadi Henry akafunga Kwa mbinde.
Tusiongee tu eti kwa vile tunacheza na championship team basi tuwaburuze, Leeds is a great team.
Kwanza give credit kwamba tumemaliza bila kuruhusu goli, despite pressure ilivyokuwa first half. Then it's our second win in a row, katika mechi nyingi. Angallia positives kabla hujaanza criticism, ni game ya tatu kwa jamaa, anafanya tactical changes kuisoma timu yake.
Nelson willock Saka Mustaphi Matteo Smith Mavro hawa wote hawatakiwi kuwa Arsenal kama tunataka makombe la sivyo tutaishia kusifia mechi ya siku tuliyoshinda kama jana na kufanya analysis ya mechi ikifika mwisho wa Msimu kabati linakuwa na mende wanatembeaTatizo hatuna mabeki...mfano RB wote wabovu kocha anaintroduce mfumo kutokana na wachezaji alionao.....ila huyu Nelson kwanini asipelekwe hata huko championship kwanza????jamaa kama hali vizuri yaani anadondoka hovyohovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba nikukumbushe tu kuwa msimu uliopita 2018/19 Nelson alikua 1899 Hoffenheim ya ujerumani kwa mkopo. Alicheza mechi 23 na kufunga goli 7, kwa madogo tulionao ukiondoa Martineli huyu Nelson ana uhafadhali kidogo.Huyu Nelson alikuwa anacheza wingback gani ile?mbona muda mwingi alikuwa upande ule wa kolasinac......huyu apelekwe hata Preston huko kwa mkopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba nikukumbushe tu kuwa msimu uliopita 2018/19 Nelson alikua 1899 Hoffenheim ya ujerumani kwa mkopo. Alicheza mechi 23 na kufunga goli 7, kwa madogo tulionao ukiondoa Martineli huyu Nelson ana uhafadhali kidogo.
Ana mapungufu yake ila yanarekebishika, natumaini ata-improve sana chini ya Arteta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo irrational katika uchambuzi wa mpira. Hata huangalii timu imepitia changamoto gani in the past two years, unachotaka ni waupige mwingi kwa sababu tu wanacheza na timu ya championship.Wewe kuwa na akili basi Arsenal ni timu kubwa EPL sawa kama tungekuwa tumezidiwa home kwa LEEDS UNITED hilo nisingekuwa na shaka nalo kabisa sababu kuwa home ni moja ya advantage kubwa ishu hapa ni kuzidiwa EMIRATES almost kila kitu tumezidiwa pass ball possession shorts yaani kila kitu tumezidiwa EMIRATES hyo ndo hoja yangu tena na timu ya CHAMPIONSHIP
Jana ni MARTINEZ ndo katuokoa bila yeye game ilishaisha 1st half tungepigwa hata 2 kwa bila hvyo next time hili lisitokee tena na tena hao LEEDS UNITED kila mara muda kama huu huwa wanaongoza ligi yao ikifika May wapo chini wanakuwa vibonde
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamjua willock?Katika madogo wapuuzi pale Arsenal nadhani huyu Nelson anaongoza. Angalau wengine wanaweza kubadilika huko mbeleni lakini huyu dogo, sijui!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ornstein : Arsenal are looking to shift upto 12 players on loan/permanent transfer moves.Nelson willock Saka Mustaphi Matteo Smith Mavro hawa wote hawatakiwi kuwa Arsenal kama tunataka makombe la sivyo tutaishia kusifia mechi ya siku tuliyoshinda kama jana na kufanya analysis ya mechi ikifika mwisho wa Msimu kabati linakuwa na mende wanatembea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha yani nkimuonaga uyo dogo nakereketwa kweli hata mpira naacha kuangaliaUnamjua willock?
Huyu bwana naangaliaga comment zake, ni wale watu wasiotaka kukubali uhalisia wa hali halisi ilivyo, yaani haangalii kabisa tumu ilipokuwa enzi za Emery na sasa Enzi za Arteta. Ameng'ang'ana wachezaji waliopo hawafai maana wana kiwango kidogo kwa hiuo anataka qualiry players. Sasa mimi najiuliza quality players tunawatoa wapi wakati hata kama tungekuwa na pesa nyingi hatuwezi sajili zaidi ya wachezaji wawili kutokana na financial fair play (nahisi hili halijui). Lakini pia hajawah hata kumpongeza kocha jwa kabumbu tunalosakata sasa mpaka tumeweza kupata clean sheet mbili.. Na sisi tunaojua arsenal enzi na enzi tunajya kabisa kiwa tunaenda kumkalisha palace game inayofuata!.. Jamaa analalamika kuwa tumeshambuliwa sana na timu ya championship, lakini hakumbuki kuwa hatuna right back na hivyo kocha akabadili mfumo ili kuendana na waxhezaji tulionao.. Waxhezaji tulionao mbona timy ilikuwa inaupiga mwingi tu enzi za enzi za wenger tena forwars akiwa Maroune Chamack!.. Ukweli ni kwamba tuna bahati tumepata kocha na atatutoa huko tulipo sasa. Baada ya mechi kumi tutakuwa tunaongea mengine!.. Huyu milango mitatu kazi yake ni kutudiscourage tu hapa kwa malalamiko yake yasioisha.. Yaani jamaa yupo kama mwanamke mwenye gubu ambaye haangalii mazuri uliyotenda!.. Watu wanamlaumu sana Nelson, lakini kwa madogo tulionao pale ni huyu ndio mwenye uzoefu mkubwa sana wa kucheza ligi kuu, msimu ulioisha alitupia goal saba mpaka tukaanza kuomba arudi home, sasa amerudi home watu wanalalamika, yaani wamesahau kuwa hawa wachezaji walikuwa wameharibiwa na Emery!.. Nakuhakikishia kama Emery angeendelea kuwepo hata Auba angeflop tu maana mipora ilikuwa haiensi mbele sasa angefungaje?. Hebu tazama beki yetu ilivyotulia sasa hata kama bado timu zinatushambulia! Zamani ilikuwa ukiona timu inashambulia kwenda langoni mwetu unakuwa unajua kabisa hilo linaenda kuwa bao.. TUMPE ARTETA HAKI YAKE SASA MAANA AMESABABISHA TUNAENDA KUANGALIA MPORA KWA CONFIDENCE NYINGI SANA!.. HAKIKA MUNGU AKUBALIKI SANA ARTETA KWA KUTUONDOLEA STRESS..Upo irrational katika uchambuzi wa mpira. Hata huangalii timu imepitia changamoto gani in the past two years, unachotaka ni waupige mwingi kwa sababu tu wanacheza na timu ya championship.
Lakini sawa mkuu, kila mtu na maoni yake.