Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kiukweli hii timu yetu inahitaji marekebisho makubwa ila kuna watu humu hawataki kusikia ukweli.
Nawakumbusha tu kuwa kwenye mechi 15 tumeshinda mechi 2 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu ya kiungo bado inahitaji watu wa kazi kazi. Hii partner ya Xhaka na Guanduz huwa siielewi.
Siku Lucas Torreira akiwa majeruhi basi timu itarudi kule kule enzi za Unai Emery tu
 
MTANGAZAJI ANASEMA LEEDS IMEKUWA KAMA TIMU YA PREMIER LEAGUE TENA EMIRATES DAH KUUMBUANA HUKU HII TIMU HAIFAHAMIKI NINI INAKITAKA MPAKA SASA ILA SABABU MPIRA HAUJAISHA NGOJA TUONE
DK 30 LEEDS SHORTS 12 ON TARGET 4
ARSENAL SHORTS 2 ON TARGET 1 NA HAPO NI KWETU EMIRATES SIO DALILI NZURI KABISA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapinzani wanaokutana na Arsenal au Manchester United kwa hivi sasa wanacheza kwa confidence ya hali juu ni timu ambazo haziogopeki kwa opponents tena.
 
Lemar huyu kwakuwa mdogo bado sawa , ila pale atletico sijui nn kimempata

Alikuwa moto sana , Arsenal tulimkosa kidogo, Liverpool nao wakamkosa

Cha ajabu kawa flopp , aje angalau bench liwe na watu ili wale watoto waende loan

Mie bado namuamini mnoo!! Sintaacha kumuamini mpaka pale itokee aje arsenal halfu afeli! Ashindwe kuonesha soka safi!!

Mara nyingi nikicheki game za atletico nilikuwa naona kama el cholo anamkosea hivi
 
Sehemu ya kiungo bado inahitaji watu wa kazi kazi. Hii partner ya Xhaka na Guanduz huwa siielewi.
Siku Lucas Torreira akiwa majeruhi basi timu itarudi kule kule enzi za Unai Emery tu
Mpaka Arteta apate timu anayohitaji kuna wachezaji wengi sana wataondolewa Arsenal, hawa akina Guendouz, Nelson wataondolewa polepole tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu yetu kweli homa za vipindi,dakika45 tunashambuliwa tu,tupoovyo kabisa.

Martinez ndiyo katuoko
 
Leeds inazizidi kiwango timu nyingi za premier league......
Kwa sababu wanakuenyesha wewe basi unadhani ni kila timu Leeds sio kwamba ni timu nzuri kiivyo tatizo wamekutana na Arsenal ambayo haina nyuma wala mbele ipo ipo tu.
 
Kwa sababu wanakuenyesha wewe basi unadhani ni kila timu Leeds sio kwamba ni timu nzuri kiivyo tatizo wamekutana na Arsenal ambayo haina nyuma wala mbele ipo ipo tu.
Angalia msimamo...angalia gd ilivyo tofauti na wenzake... Angalia kocha wake.... Angalia timu za EPL zilivyopelekwa na za huko championship FA.... Halafu angalia matokeo ya hizo timu zikikutana na Leeds........ukileta ushabiki hutaelewa..
 
Nitajie timu za EPL 3 tu ambazo Leeds inazishinda uwezo,Labda naweza kukuelewa.
 
Leeds wamecheza kama Championship team, nafasi walizopata first half wakazipoteza zinadhihirisha hivyo.

Wanafungwa kwa sababu ya uzoefu wa kupambana na timu ya EPL.
 
Back
Top Bottom