Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,122
- 912
Hizi tabia alikuwaga nazo KinjiDuuuh! Kocha anakamia hadi mechi za FA mkuu![]()
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
Hizi tabia alikuwaga nazo KinjiDuuuh! Kocha anakamia hadi mechi za FA mkuu![]()
| #AFC
/
]Kweli kabisa, Naona FA kaweka kikosi kizito. Atleast hili kombe tukikaza tunaweza kuchukuaArteta Leo kwenye press amesema Yupo kupambania taji lolote analoona lipo
Hii ni tabia aliyofundishwa na pep ndio maana last season walikuwa hawadharau mech wakakomba kila taji ndan ya england
Pia Leeds sio wabovu ,
Labda mchukue kombe la uji.Kweli kabisa, Naona FA kaweka kikosi kizito. Atleast hili kombe tukikaza tunaweza kuchukua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naangalia hii gemu hadi aibu.Leeds wanacheza kwa game plan ya kwamba Arsenal hana beki nzuri.
Wanapeleka sana mipira mbele na wanataka kupita katikati
Peleka ujinga wako jukwaa la timu unayoshabikia.Labda mchukue kombe la uji.
Mkuu naangalia hii gemu hadi aibu.
Possession Arsenal 35% - Leeds 65%
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipa ametuokoa sana, yaani madogo wanatukimbiza kinyama.Na mpaka sasa MVP wa game ni golikipa wa Arsenal
Kiukweli hii timu yetu inahitaji marekebisho makubwa ila kuna watu humu hawataki kusikia ukweli.Na mpaka sasa MVP wa game ni golikipa wa Arsenal
Huna timu ya kuchukua kombe lolote hivi sasa
Kiukweli hii timu yetu inahitaji marekebisho makubwa ila kuna watu humu hawataki kusikia ukweli.
Nawakumbusha tu kuwa kwenye mechi 15 tumeshinda mechi 2 tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi sasa Leeds wana shoots on target zaidi ya 8 huku Arsenal ni 1.Kipa ametuokoa sana, yaani madogo wanatukimbiza kinyama.