Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal are going to look at the transfer market

IMG_20200105_180428.jpeg
 
Kwa unavyoiona arsenal hii, unadhani ni eneo gani linahitaji mabadiliko ya haraka zaidi....?

Ni kweli kwamba beki ni tatizo, probably na kiungo pia.

Lakini sioni kama Boateng ni mtu sahihi kwa Arsenal ya ushindani, imagine Bayern wako tayari kumwachia bure. Sasa mchezaji wa bure anatakiwa aje kuwa backup na siyo tegemezi.
 
Hawa ni wa mbadala mfupi tu.... Nadhani target yetu kubwa ilikuwa ni upemacano japo naona Leipzig wanakaza...
 
Back
Top Bottom