Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
SVEN mtu sana yule jamaa , kwa £70m tu aliwaleta kina Leno, Lt11 , Mateo, na sokratisKatika siku nilisikitika kwa arsenal basi ni kuondoka kwa sven hapo ndio nilianza kumchukia zaidi unai
Edu labda hana maamuzi, hivi Technical director(Edu) na Head of recruitment(Sven) utofauti/Role zao ni zipi ??, mbona Edu hafanyi manuva kama Mzee baba Sven.SVEN mtu sana yule jamaa , kwa £70m tu aliwaleta kina Leno, Lt11 , Mateo, na sokratis
Edu viatu kwake vikubwa havimtoshi,
Sven alikuwa poa sana , Emery akamletea nongwa ,
Sio mbaya kama arteta kaona kitu kwakeMie naamini kwa arsenal atazaliwa upya! Ni mchezaji mzuri tu ila naona soka la diego simeone limemshinda ama tuseme el cholo hajaweza kumtumia vizuri
Naona kama Edu ana majukumu mengi sana,Edu labda hana maamuzi, hivi Technical director(Edu) na Head of recruitment(Sven) utofauti/Role zao ni zipi ??, mbona Edu hafanyi manuva kama Mzee baba Sven.
Jezi Kali sana hizoArteta on the FA Cup:
"Its a competition that is very attached to this football club in recent years. The memories that I've got with this football club... We have to be challenging for the cups & we'll try to do that again this season" #Arsenal View attachment 1311566
Arsenal fans very hypocrite..... Sahivi ukitembea social networks utaona wanapiga kelele Xhaka abaki wakati ndo haohao walimuombea binti yake apate kansa afe.... Kweli mpira bila unafiki hauendi.
Bado unataka tena rungu.... Ushakuwa addicted mara hii
Bado unataka tena rungu.... Ushakuwa addicted mara hii
Kapunguze stress zako bar
Sasa ww si ndio umenifuata huku... Kilichokutuma uniqoute halafu ujumbe haukuhusu ni nini
Kapunguze stress zako bar