milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
KIKOSI NDO KIMEFANYA WATU WAKAE MACHO UNAMWONA KOLASINAC PEPE WANAANZA UTALALA KWELI?Wewe ndio unajipambanua ni mkweli ....
Mbona ulitudanganya hutoangalia hii mechi!!!!????
Hahahaaaaaaaaaa
Aiseeeeh wewe ushabiki huuwezi...
Umenikumbusha nyimbo ya Hussein Machozi _ Utaipenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetudanganya mkuu,HUWA NAPENDA KUSEMA UKWELI SABABU NI MWIKO KUSEMA UONGO ILA KWA KIKOSI HIKI TUKIFUNGWA INABIDI TUTAFUTE MCHAWI KWA KWELI
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mfumo unahitaji watu kama LT11 , hivo mpaka alete baadhi ya watu ambao watacheza kwa energy ile ile mwanzo mwisho
Hongereni kwa ushindi aisee
MIMI NAONGEAGA UKWELI KWANGU UONGO MWIKO NA NILIVYOSEMA NDO KIMETOKEA INABIDI UWE UNATUSIKILIZA WATU KAMA SISI MIMI MPIRA NIMEUCHEZA NA NINAUJUA NDO MAAANA NKASEMA KWA KIKOSI HIKI TUKIFUNGWA INABIDI TUTAFUTE MCHAWI
Kweli kabisa nakubaliana na weweHuu mfumo unahitaji watu kama LT11 , hivo mpaka alete baadhi ya watu ambao watacheza kwa energy ile ile mwanzo mwisho
Kama unavyoona kwa pep
Ukweli gani unaousema wewe ikiwa hapa tayari ushadanganya?????ukweli una wenyeweMimi ambaye nasema ukweli usingizi siwezi kukosa na hata mechi Leo siangalii sababu jana nimekesha kusubiri Mwaka hvyo siwezi poteza mechi ambayo kimsingi Arsenal kushinda ni 40% wewe angalia game yetu halafu utanipa Matokeo
Mimi kwangu uongo ni mwiko kabisa na nikiwa mkweli unakasirika!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaaa nimefurahi sana mkuu kuona umerudi katika hali yako ya kawaida.KIKOSI NDO KIMEFANYA WATU WAKAE MACHO UNAMWONA KOLASINAC PEPE WANAANZA UTALALA KWELI?
ANGEANZA NELSON SAKA MATTEO LEO HII NINGELALA MAPEMA NA USHINDI LEO USINGEPATIKANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli gani unaousema wewe ikiwa hapa tayari ushadanganya?????ukweli una wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kikosi hiki lawama zitaisha ila kwa kikosi cha Nelson willock matteo tutashuka Daraja Leo Arteta amejitambua na amejua Mashabiki tunamtaka nani aanzeHahaaaaaaa nimefurahi sana mkuu kuona umerudi katika hali yako ya kawaida.
COYG
Sent using Jamii Forums mobile app
David Luiz says the the squad is not at the physical level to play with intensity for 90 mins. Says it is something we will fix over time. Adds that when you don't have the intensity, you need to have heart. Says he loves the attitude of our youngsters.
Kocha hajakosea kufanya ile sub!. Kumbuka kuanzia dakika ya 50 man u walikuwa wameanza kufqnya mashambulizi makali na kumiliki mpira mpaka wakatuzidi ball possession ikawa arsenal 48 - 52 man u.. Alichofanya kocha akamtoa pepe japo leo ndie kaongoza kwa rating kubwa na kumuingiza nelson ambaye anaweza kukaba japo kugunga ni bahati nasibu. Na pia sub ya Saka ilitusaidia kupeleka mipira mbele na pia kuwin ball possession na ndio maana unaona baada y kumwingiza Guendouz tukaanza kupossess vzr na pia uhakika wa kushinda game ukaonekana!.. Kwa hiyo hawa madogo wanafaa kuingia kipindi cha pili ili kuongezea nguvu pale palipo na mapungufu.... Kimsingi Kocha tumepata na kuanzia sasa timu ndogo zitapata tabu sana kwa mpira ule tunaocheza sasa.. Yaani timu inamiliki mpira na kutowapa wapinzani nafasi ya kushambulia kwa utulivu maana muda mwingi wanakuwa hawana mpire!.. MUNGU IBALIKI ARSENAL YETU NAANZA KUONA TUNAMSHUSHA MTU PALE TPO FOUR.Arteta aache upumbavu wa Sub zake Nelson alikuwa anaanguka tu kila saa yaani HAMNA KITU UPUPU MTUPU KABISA
ARTETA LEO GAME KAIWEZA NA SABABU BAADA YA MASHABIKI KUONA KIKOSI WATU TUKAAMUA KUANGALIA GAME NA KIKOSI KIMEONYESHA NINI MASHABIKI HUWA TUNAKITAKA HAPA SAFI SANA MIA KWA MIA
SHDA NI SUB INABIDI WATU WA KAZI WAONGEZEKE ZAIDI KIKOSINI DAH HATIMAYE TUMEONA MWANGA NA SISI HALI HAIKUWA NZURI NDO MAANA UKWELI UKAWA UNASEMWA
Sent using Jamii Forums mobile app