Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Isikutishe ,EPL ukishinda mech 3 mfululizo unapanda nafas hata 5,Hii table ilivyokaa Leo tukifungwa humu Leo humu tutakimbiana ona nafasi tuliyopo leo muda huuView attachment 1309585
UPDATE ARSENAL NI WA 13 NA SOUTHAMPTON WA 11 BAADA YA KUSHINDA LEO
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo mkuu , heri ya mwaka mpya , Jana ulinipigia nikawa sikusikii vzr ,ulikuwa club nnNashukuru kukuona tena hapa #fanmate wangu
#Hatuhami 2020
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
Kwasababu ya uhakika wa makombe. Hamna mchezaji asiyetaka kunyanyua kwapa mzee na ndo maana kina Persie, Sanchezi, Faby etc waliondoka wakatafute silverwares na wakazipata walipoenda. Ngumu kumshawishi mchezaji aliye peak kwa mikono mitupu misimu nenda rudi ndugu.Timu ambazo Wachezji hawawazi kuondoka ni Madrid Na Barca tu.Now you know.
Usikariri mkuu, Kwani Tevez alivyoondoka MUN alikuwa hachukui makombe au hakuwa na uhakika wa vikombe??? vipi Sanchez kachukua kombe gani alivyoondoka Arsenal ??? ,Madrid na Barca ni club kubwa kwa kila kitu na ndio maana zinapendwa na wachezaji wengi.Kwasababu ya uhakika wa makombe. Hamna mchezaji asiyetaka kunyanyua kwapa mzee na ndo maana kina Persie, Sanchezi, Faby etc waliondoka wakatafute silverwares na wakazipata walipoenda. Ngumu kumshawishi mchezaji aliye peak kwa mikono mitupu misimu nenda rudi ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo mkuu , heri ya mwaka mpya , Jana ulinipigia nikawa sikusikii vzr ,ulikuwa club nn
Leo must win gameTukifungwa na leo sijui tutaweka wapi sura zetu