milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Kuhusu Arteta kupewa muda haina tatizo hakuna anayepinga ila nikikuuliza una uhakika na ARTETA ANAWEZA KUJA KUWA KOCHA BORA ??maana hatuna uhakika naye hapa wote tunahisi tu sababu ya ushabiki ila kireality wote hatuna uhakika ni kama tunabahatisha au tunabeti sababu kama angekuwa ni kocha mwenye uzoefu mkubwa tungesema may be huyu hawezi kushuka Daraja atatuinua mfano Pelegrini si umeona kataka kushuka na west ham licha ni kocha mzuri na ameshabeba hadi EPL?
Duuh mkuu umeua kabsaTuna mechi zifuatazo ambazo ni LAZIMA TUFUNGWE HAINA HAJA YA KUJIPA MATUMAINI HUMU
CHELSEA AWAY TUKISHINDA ITAKUWA MAAJABU YA DUNIA
SPURS AWAY TUKISHINDA ITAKUWA MAAJABU
LIVERPOOL HOME HII HATUNA HAJA YA KUIDISCUSS TUTAPOKEA KIPIGO KITAKATIFU
WOLVES AWAY BALAA LAO TUNALIJUA JANA ALIKUWA ANFIELD ILA WALICHEZA KAMA WAPO HOME NA MUULIZE KIPARA ALIYETUCHEZESHA REDE EMIRATES LAKINI JAMAA WAMECHUKUA POINT 6 KWAKE
MACITY ETIHAD AWAY HII HATUNA HAJA YA KUIDISCUSS TUTAPOKEA KIPIGO KITAKATIFU
MANCHESTER UNITED AWAY KIDOGO ASILIMIA 40 NDO MECHI AMBAYO ANGALAU HATA SARE INAWEZA KUPATIKANA ILA KWA UCHEZAJI WAO WA COUNTER ATTACK NA BEKI YETU YA SAKA LUIZ MUSTAPHI NA NAILES HAPA ASILIMIA 60 TUNAWEZA KUPATA HEART ATTACK
LEICESTER HOME HAWA BALAA LAO LINAFAHAMIKA NA PIA KWA SASA HATUNA KIKOSI CHA KUWAZUIA HAWA WATU HATUNA
NIMEONGELEA HIZI MECHI SABABU NAJUA HUWA TUNA TABIA YA KUSEMA TUTASHINDA NA KUJIPA MOYO WA KIJINGA MIMI BINAFSI NIMEJIANDAA NA MATOKEO YA KUPIGWA KATIKA HIZI MECHI 7 NA BAADA YA HAPO NDO WABISHI WA KUAMINI ARSENAL NI TIMU KUBWA NA HAIWEZI KUSHUKA NDO ITAFAHAMIKA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah.... kumbe huwa mnatia huruma hivi?Sawa mkuu maisha tu haya.... Siku itawadia
Leicester nayo ni timu, wewe naye kumbe zigo la mavi tu.Ngoja Arsenal wamtake uone kama atakataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha aongee huyo mama, nadhani hawa ni mamluki waliyohama Arsenal, kwa hiyo anaandika kujustify maamuzi yake.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ww ni takataka..... Hamna mchezaji mwenye focus ya msimu mmoja..
Hakuna Controvesy decision zaidi ya ile ya Jorginho kwa mechi ya jana, Maitland Niles alipewa yellow pia Lt11 alipewa yellow kwa kosa hilohilo, lakini kwa Jorginho Refa akajifanya ana huruma kuliko Yesu.Naona kila mtu anavutia kwake vip kuhusu lile teke alilorusha Gunduz kwa kante na Abraham alivyoshikwa ndani ya box?
Heheheh ati alistahili red je huyo guendozi sijui alivomkata Abraham kwenye box akiwa hana hata mpira mlikuwa mmefumba macho? Yeye hakustahili red card. Yaani huyo kiungo wenu alitakiwa awe ameahakula umeme siku nyingi.
Wanajifanya hawaoni.Naona kila mtu anavutia kwake vip kuhusu lile teke alilorusha Gunduz kwa kante na Abraham alivyoshikwa ndani ya box?
Ikishuka tunashuka nayoUna uhakika gani na Msimu ujao wakati tunaweza kuwa championships ?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] Kufa hamfi ila cha moto ndo mtazidi kukiona sanaChama letu hili hatulikachi
Ila mkuu ni ukweli kabisa bora tumalize ata nafasi ya 10 uko ili tuanze kujipanga upyainauma hatuna namna inabidi tujipange imara kurudisha mashambulizi.
rise and fall ni nyakati katik maisha.ya kibinadamu fall ni kipindi kibaya sana katika maisha hata wapendwa wetu lazima watukimbie hiki kipindi huwa na maumivu makali sana.
lakini siku zote tumaini huwa lipo haijalishi upo katka hali gani huwa tnaamini matatizo yanapokuwa makubwa mafanikio yapo karibu.
Arsenal fansi inabidi tuelewe huu ni muda wa kuwa karibu sana timu yetu kuliko kipindi kingine ni mda wa kuwasaport wachezaji wetu bodi yetu(hapa watuliza bodi yetu ni ya kiwakii wakuu eleweni kila binadamu tunajifunza kulingana nq makosa katika angulo letu na imani viongozi wetu wajifunza vingi sana).
Huu ni muda wa kuonesha upendo wetu kwa klabu yetu kwa pamoja tunaweza kurudisha utukufu wetu.
MAONI YANGU BINAFSI:
1.tutoke katka mashindano ya uropa tupate kuijenga timu yetu
2.emirates huu uwanja ni kama laana kwetu(wazo la kurudi kwetu HIGHBURY mwenda kwao si mtoro)
3.viongozi wa klabu wabadilike waendene na muda
4.uza wote wanajiona wakubwa kuliko piga chin ozilii laca hivi vitoto tuanze future upy.
BEING A GOONER....IS HARD BUT ITS WORTH ALL THE PAIN.FOREVER A GUNNER THROUGH THE GOOD TIMES OR BAD TIMES.
Havier jr@"when i die take me to highbury"
Ww jamaa kunakaukweli unako ktk maneno yako ingawa watu wanakuhis vbyKuhusu Arteta kupewa muda haina tatizo hakuna anayepinga ila nikikuuliza una uhakika na ARTETA ANAWEZA KUJA KUWA KOCHA BORA ??maana hatuna uhakika naye hapa wote tunahisi tu sababu ya ushabiki ila kireality wote hatuna uhakika ni kama tunabahatisha au tunabeti sababu kama angekuwa ni kocha mwenye uzoefu mkubwa tungesema may be huyu hawezi kushuka Daraja atatuinua mfano Pelegrini si umeona kataka kushuka na west ham licha ni kocha mzuri na ameshabeba hadi EPL?
Hvyo Arteta kuna mawili anaweza kutuvusha na pia anaweza kutushusha Daraja sababu hatujui ni kocha wa aina gani NGOJA TUSUBIRI MARCH NA SIO MAY PICHA ITAKUWA IMEONEKANA RASMI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu basi inatosha usije ukafanya huu uzi ukafungwaTuna mechi zifuatazo ambazo ni LAZIMA TUFUNGWE HAINA HAJA YA KUJIPA MATUMAINI HUMU