Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Atalaumiwa tu. Kuna makosa mengine ya kijinga.

Dakika ya 70, why dont you bring in fresh legs?? Umeng'ang'ania Nelson. Pepe yupo nje
Lakin mkuu umeona bao la pili lilipotokea? Pepe alipewa mpira ndani ya 18 akaanza kuupaka rangi badala ya kunyoosha alikua na nafasi kabisa ya kufunga ila ngoma ikageuzwa na goli likapatikana
 
Hahaha mukaliwa nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa umeweka ushabiki pembeni na kusema ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee hali yetu sio nzuri kimahesabu tunaweza maliza position mbaya kuliko misimu yote ya nyuma bila usajili wa kueleweka january,

Tumepata kocha mzuri naweza kusema hivo kwa game hizi mbili nilizoziona, ila tatizo hata wachezaji kujiamini kumepotea (***** Emery popote ulipo). Nadhani Ndidi na Upamecano ni lazima watue Emirates january hii tuokeke kwenye aibu hii ya huu msimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
First half wachezaji walkua wanacheza kwa kujiamini mno timu ilitulia hadi raha ila kipindi Cha pili sijui nin kilitokea ila uelekeo walau unaonekana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…