Matteo ndo moja ya sababu sisi kuwa wa 12 hapo na akikaaga na Toreirra huwa Kati panavuja kama maji hilo linafahamika na haina ubishi hyo sehemu inahitaji usajili mkubwa ila ni bahati mbaya Xhaka hayupo inabidi acheze yeye ila nakuapia kama leo Chelsea wanataka ushindi hapo ni sehemu ya kwanza yenye udhaifu mkubwa
Nelson sina la kusema ila kwa akili ya kawaida je Nelson ni mzuri kuliko Pepe?labda kama Arteta kabanwa na sheria ya ligi lazima kuwe na Waingereza kadhaa kwenye kikosi labda ila zaidi ya hapo ni labda ana lake jingine ila Pepe ndiye msumbufu hata mabeki huwa wanamuogopa na kutaka kumchezea rafu za kumvunja miguu
Sent using
Jamii Forums mobile app