Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Zidane alikuwa kocha mkuu wa timu gani mkuu?
Tukae humo kwanza.
Kama sababu ni hizo za wachezaji wazuri,mbinu n.k mbona kuna lundo la experienced coach waliishindwa hiyo Madrid na wakatimuliwa?????Solari,Lapotegue n.k au hao walivyoichukua timu walibadilishiwa wachezaji?
Tuhame huko hivi pale PSG kuna wachezaji wabaya?au mbinu?au pesa hakuna?inakuwaje wanasuasua?

Ukocha sio pesa,na kuwa na lundo la wachezaji masuperstar.....bali ni Talent,Tactics,Technics and Plans.
Hiyo madrid iliyokuwa na kila aina ya superstar lakini ilifanywa vibaya na huyu Mr.Wenger home and away pamoja na kuwa na wachezaji hao hao wa mafungu na wakawaida.....


Wewe uamini usiamini ndio ishakuwa na haina jinsi,maana wengi tulipenda aje experienced coach lakini bodi ndio ishampitisha huyu.....NDIO KOCHA WETU.

TUMSAPOTI,

kila kitu utachofanya hapa chini ya jua ni GAMBLE tu hiyo weka akilini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arteta to Arsenal players: "I will be in the stands at Everton. I want you to know that I will be watching your attitude, your efforts, your body language. I will see what you do when we lose the ball, what your attitude is. Also, what you do when we have the ball." #AFC

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
Arteta hata hajaanza kazi twaona "HATERS" mnapagawa?!
Na bado, mwaka huu hana pressure, Europa na labda na FA Cup, mwaka kesho kujitahidi top 4, mwaka wa 3 shughuli pevu, hatuna haraka, subirini muone ....
 
Zidane alikuwa kocha mkuu wa timu gani mkuu?
Tukae humo kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua hujanielewa.

Kuna watu wamedai uzoefu siyo swala la msingi na mfano wao ni Pep, mimi nikasema kama mtu anatoa mfano wa Pep juu ya uzoefu basi hashindwi kumtaja Zidane na kumtumia kama mfano pia.

Ambacho wanasahau ni kua hawa wawili timu walizoenda ndiyo ziliwabeba. Hakuna sehemu nimesema Zidane alikua kocha mkuu au ana uzoefu kabla ya kutua Madrid.
 

Arsenal tuna philosophy yetu, hatufuati wengine wamefanya nini, tuliza ball, the team is under reforms
 
Umeongea kitu cha msingi sana. Matatizo yalianza kipindi cha Wenger. Huo ndio ukweli
 
Umeanza kwa matusi usishtaki kwa mods.

Hizo 600+ Mumeo Guardiola alitumia ndani ya miezi 18? Na hatujasema kua lengo letu tulingane kikosi na mumeo Guardiola tumesema hata kikosi cha kwanza hakua nacho. Jifunze kubalansi shobo.
Jamaa analeta mihemko ,na matusi , ngoja tukae kimya maana hawakawii kushtaki tupigwe ban ,

Halafu Arteta hajaletwa ili tufanane na city, sisi tuna mpira wetu unajulikana ,

Hii ni project mpya , Hao wanaodhan Arteta ameletwa ili tufanane na city mm nawaona ni wasiofikiria ,
 
LEO ATAKUWEPO JUKWAANI


Arteta on what he told the players: I will be in the stands at Everton. I want you to know that I will be watching your attitude, your efforts and body language. I will see what you do when you lose the ball, what your attitude is and what you do when you have the ball.


NINA IMANI NA KOCHA WANGU ,

 
Acha kumfananisha Ole na vitu vya kijinga.

Ole alishafundisha man united reserve team kushinda vikombe twice.

Akafundisha Molde akafanya vizuri for two consecutive seasons.

Akaenda Cardif things went south team ikawa relegated.

Akarudi Molde akacheza EUROPA league tena akaongoza kuongia round of 32 akatolewa na Sevilla.

Kaja Man united akafika robo fainali UEFA champions league.

Unataka kumlinganisha na huyo Arteta wenu ??

Be serious London babies

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raul Sanllehi speaking to ArsenalPlayer:


“The recruitment process was led by Edu, our technical director. He made the first filter of coaches who possess the technical expertise to project on the pitch what we want in terms of style of play.”
 
Hearing Freddie Ljungberg signs off as Arsenal interim boss at #EVEARS by going with youth - Martinelli, Smith-Rowe, Nelson, Saka, Maitland-Niles in mix to start. Understand Mikel Arteta wants 6 staff including Ljungberg. As per others, Steve Round & Inaki Cana also incoming #AFC(David ornstein)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…