Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Yaan watu wanaongea kwa uzoefu ,Ohio arsenal haitoi hela , hawafatiliiHebu angalia hizi sajiri za Liverpool na ndio timu ya moto kwa sasa EPL ikiwa haijapoteza hata mchezo mmoja....lakini ni timu bora ulaya na inaelekea kuwa bora dunia keshokutwa tu.....
Aliyeturudisha nyuma ni Unai,kafanya Sven aondoke na walipewa 200m lakini hakuna walichofanya,
Michael Edward ni fundi sana aiseeeh,
Kwahiyo pesa ya usajiri waliyopewa Arsenal ingekuwa ndio tuna mtu kama Klopp na Michael aiseeeeehhhh ...lakini bahati mbaya tulikuwa na Unai ManinaView attachment 1298436
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni jicho la kuona mchezaji mzuri ,mchezaji mzuri sio yule aliyenunuliwa kwa mipesa lukuki....Kama tunawaza ubingwa au top 4 saka bado hana uwezo wa kutupa chochote kile tuwe wakweli saka anapata namba kwa Liverpool na Man City?wachezaji wangapi wa Arsenal wanaweza wakapata namba Liverpool au Manchester city?timu yetu bado sana hata Arteta naye atapata tabu sababu ya mabinti waliopo Arsenal ukiachana na wanaume wachache
Arsenal ni timu yetu sote ila kwa sasa haina jipya tusubiri Msimu wa 2020/2021 kwa sasa tushafeli
Sent using Jamii Forums mobile app
"....But I'm sure you won't need it.." 😎Ramsey (on Arteta appointed Arsenal manager) View attachment 1298497
Hawa wanaongea tu na kujifurahisha.Ukumbuke City wanao uwezo wa kusajili mchezaji akazingua, baada ya muda mfupi wakasajili tena namba ile ile.
Sasa Arsenal hata usajili wa kawaida ni mbinde sana, wanawezaje ku-afford kumweka mtu benchi akiwa mzima!
Not that easyOzil bado mkataba wake mpaka 2021....
Mkuu,
Na jamaa hapo alieleza wazi kuwa Yaya alipigwa bench mpaka kandarasi yake ilipoisha akasepa bure...
Na suala la Ozil lipo wazi kuwa yeye ndio hataki kuondoka so kocha anayekuja kama hatoweza kumtumia litamtokea lililomtokea Yaya...atakula bench then aende free.
Sent using Jamii Forums mobile app
Özil kwa sasa ni Arsenal Fan hiki ndicho kinapelekea abaki pamoja na suala la kifedha.Hawa wanaongea tu na kujifurahisha.
Ozil will never move until his contract expires
Nawashangaa sana wajuaji wanaosema ozil ataondoka January. Wanaota ndoto ya mchana hahahaahahahaAnamjua anajua quality yake na anajua pakumtumia ni kazi yake kumrejesha kwenye makali yake ndicho alichokisemaView attachment 1298511View attachment 1298512
And he is a marvellous player.Özil kwa sasa ni Arsenal Fan hiki ndicho kinapelekea abaki pamoja na suala la kifedha.
Özil atabaki tu.
Definitely!And he is a marvellous player.
Wale wanaosema oohhh sijui hakabi, sijui mvivu sijui nini, they should shit their mouth and let ozil be.
It was made clear by Wenger and by himself, he is who he is, anaempenda sawa na asiempenda afe