Arsenal (The Gunners) | Special Thread

It's more than impossible kuuza karibu nusu ya wachezaji kwenye timu. Hawa sio Simba/Yanga ambao wanaweza kununua wachezaji 11 ndani ya dirisha moja la usajili. It'll take time to restructure Arsenal, na bahati mbaya sana fans don't need to wait that long, banners of Arteta Out will be shown in no time.

I personally wish him all the best, but the job at hand is too big for him.
 
According to Bild, Granit Xhaka has informed his #Arsenal teammates that he will be leave the club in January. They claim Hertha Berlin are willing to smash their transfer record to sign the midfielder for €45m.
 
Umesema ukweli kabisa ,

Kuna wachezaji wataondoka taratibu huku Arteta anajenga timu yake

Xhaka ,ozil hawa January wanaondoka

Hadi kufikia summer zaidi ya wachezaji had watano watakuwa wameondolewa
 
Umesema ukweli kabisa ,

Kuna wachezaji wataondoka taratibu huku Arteta anajenga timu yake

Xhaka ,ozil hawa January wanaondoka

Hadi kufikia summer zaidi ya wachezaji had watano watakuwa wameondolewa
Nampenda sana Ozil, ilà kwa sasa tutafute No.10 mwingine, amechoka sana na ni mda wa kwenda vilabu vya kawaida tu.
 
Nampenda sana Ozil, ilà kwa sasa tutafute No.10 mwingine, amechoka sana na ni mda wa kwenda vilabu vya kawaida tu.
Kwakweli Muda wa Ozil umeisha , pia kuondoka kwake atafungua gape kuja wachezaji wengine maana kutakuwa na Gape kubwa la Wage bills.

Inaonesha Arteta anapenda 4-3-3 mfumo waliofundishwa LA masia , hivo ni kama anaruhusu kuondoka kwa Ozil,

Uwepo wa Ozil inatulazimu tucheze sana 4-2-3-1

Kuuzwa kwa xhaka tutahitaji replacement ya uhakika
 
naona mnafarijiana na ujio wa Arteta huku mkiwa na matarajio lukuki

mara ooh atakuja na ule mfumo kutoka La masia

Hii Arsenal yenu mnaisahau kwa muda mfupi sana! mnajua kabisa mnawachezaji wa aina gani

Hapo hata angekuja kocha kama Ferguson, kwa wachezaji mlionao ni ngumu sana kufanikiwa

Jipeni muda wa mpito mjenge timu na huyo Arteta wenu huku mkijijengea mazoea ya vipigo kila mechi muhimu na kujipozea machungu kwa kuisapo liverpool kwa muda mnakaribishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima apewe muda ajenge timu


Mbona unai tulimvumilia aliponesha anavuruga ametimuliwa


Na huyu Atapewa muda na atavumiliwa


#hatuhami
 
UNCONFIRMED REPORTS:


Granit Xhaka & Mesut Özil set to leave the club in January. Xhaka to Hertha Berlin while Ozil is close to join Fenerbache. Reports are saying #AFC likely to sell both Aubameyang & Lacazette at the end of the season but will reject all January offers.
 
Unarudia tu maelezo wadau waliyokwisha sema...huna hata pointi mpya kwenye maelezo yako...pita kule👉👉👉
 
Steve Round has joined as one of Mikels assistants


Assistant manager at Everton & Manchester United and Director of Football at Aston Villa.


Previously a first-team coach at Newcastle, assistant manager at Everton and Manchester United, most recently Director of Football at Aston Villa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…