Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mbona unai alikuwa experiencedArsenal inapaswa kupata kocha mzoefu na ambaye ni strong sio Kama kina unai na hawa kina Arteta wa kuokota okota, tunatakiwa kuwa na kocha anaeweza kuitikisa board ya Arsenal na Kroenke wao sio makocha wa majaribio Kama ilivyokuwa kwa Unai Emery
Sent using Jamii Forums mobile app
Arteta ni kucheza kamari kama kwa makocha wengine tu wenye experienceArsenal inapaswa kupata kocha mzoefu na ambaye ni strong sio Kama kina unai na hawa kina Arteta wa kuokota okota, tunatakiwa kuwa na kocha anaeweza kuitikisa board ya Arsenal na Kroenke wao sio makocha wa majaribio Kama ilivyokuwa kwa Unai Emery
Sent using Jamii Forums mobile app
Shabiki wa Arsenal pale alipopata breaking news kuwa Stan Kroenke ameuza hisa zake zote kwa Alisher UsmanovKwa wachezaji gani Bukayo Saka atakupa mpira ule wa babu Wenger miaka ya 2006 kushuka chini, Arsenal ilianza kuharibika baada ya Kroenke kununua hisa nyingi, mateso bado yapo palepale yaani kinachofanyika ni Ugonjwa wa kifua kikuu kutulizwa na Panadol
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndilo nililisema mapema sana huko juu,ila afadhali ya huyu Arteta kuliko yule nyambilisi EmeryArsenal inapaswa kupata kocha mzoefu na ambaye ni strong sio Kama kina unai na hawa kina Arteta wa kuokota okota, tunatakiwa kuwa na kocha anaeweza kuitikisa board ya Arsenal na Kroenke wao sio makocha wa majaribio Kama ilivyokuwa kwa Unai Emery
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii bodi ya Arsenal ya kipuuzi sana linapokuja suala la kusajili wachezaji....Mbona unai alikuwa experienced
Kikubwa kocha anatakiwa ashirikiane na Bodi vzr hasa kufanya recruitment nzuri
Wenger amesema Ameondoka Arsenal ameacha Financial iko vzr ,
Cha ajabu wanafanya recruitment isiyo sahihi
Huwez kushindana EPL na kiungo kama Gunduz , mabeki walioenda umri kama luiz na sokratis kwa pamoja ,
Arteta mm na imani nae kubwa sana ,ila tumpe muda
Makocha wote wanaokuja Arsenal lazima wawe ma head coach sio ma manager tena .
Gue ni legelege sana,japo ni talented anatakiwa awe mbishi na mgumu na aache kukaba kwa machoGuendouzi is really talented and will be a top player but this picture (from @CoachesVoice) really sums up the problem. He’s brilliant when #AFC are chasing games (Spurs, Villa) because he’s so all-action. That doesn’t work so well when you need structure. Look at Chambers here .View attachment 1298001
120%Kaka Kuingia sokoni jambo moja, kuchagua na kununua wachezaji sahihi jambo lingine.
Mnapoingia sokoni wakati huu mnatakiwa mnunue wachezaji wenye viwango compaired na viwango vya wachezaji wa timu pinzani zenye nguvu kwa sasa Liverpool na Man city.
Na sio mnanunua wachezaji ilimradi mmebadilisha wachezaji na kujaza nafasi.
Arteta asajiliwe wachezaji sahihi wenye viwango vya juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo anapiga pass sana , ila ni msindikizaji mzuri sana ,Gue ni legelege sana,japo ni talented anatakiwa awe mbishi na mgumu na aache kukaba kwa macho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa naona kama ikifanyika kwa usahihi....sioni sababu zitakazowabakisha Mustafi,Luiz,Sokratic,Niles,Chambers,Ozil,Nelson,na hawa kina Willock ,ESL,AMN,n.k ni average mno wanawaoverrate tu wawatoe kwa mkopo hata huko Championship kwanza ili wachangamke ...Wachezaji wavivu watauzwa
Nasikia kuna Overhaul kubwa itapita kukisuka kikosi tena View attachment 1297988
Kama kuna deal nzuri ni sahihi tu,Lete mtu kama ndidi mwenye uchu wa mafanikio,kwanini wao waone sisi tushindwe?????BREAKING NEWS
Bild wanaripoti xhaka kawachana wenzake January anaondoka
Huku Arsenal pia ikihusishwa na kumsajili boubacar soumare ambaye summer ni Free kutoka lille
Xhaka has told his teammates he will be leaving Arsenal. [@BILD_Englis
Hahaha kwani mkuu yule wa Leicester City ilikuwa juhudi binafsi.....Hii bodi ya Arsenal ya kipuuzi sana linapokuja suala la kusajili wachezaji....
Ni wapumbavu kuliko upumbavu wenyewe,wanachojua wao ni kubana matumizi tu pasipokuwa na jicho la kung'amua vipaji vya kweli.......
Unaombwa Soyuncu na Maguire wewe unaleta Sokratic na Lichtsteiner ......
Hii Arsenal kurudi kule tulipokuwepo inabidi Kroenke yamkute yale yaliyomkuta yule wa Leicester city....
Hivi hawa kina Josh mbona wazembe hawa katika suala zima la kunyang'anya urithi wao mapema kama wenzao walivyofanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amini kwamba mzee wangu.....Hahaha kwani mkuu yule wa Leicester City ilikuwa juhudi binafsi.....
Hatuna beki ya kushoto wala kulia kudadadek....Injury news
Hector Bellerin
Tight right hamstring. Being assessed ahead of Everton (a).
Dani Ceballos
Left hamstring. Sustained during Vitoria SC (a) on November 6. Will miss Everton (a). Aiming to return to full training next week.
Rob Holding
Left knee. Bruising to knee. Being assessed ahead of Everton (a).
Sead Kolasinac
Right ankle. Ankle ligament injury sustained during Manchester City (h). Aiming to return to full training in January.
Mesut Ozil
Right foot. Sustained during Manchester City (h). Being assessed ahead of Everton (a).
Kieran Tierney
Right shoulder. Dislocated right shoulder during West Ham United (a). Kieran had successful surgery this week and will now rehabilitate for around three months, aiming to return to full training in March.
Granit Xhaka
Available for selection after concussion sustained during West Ham United (a).
Watacheza chamber na NilesHatuna beki ya kushoto wala kulia kudadadek....
KT,SK wote majeruhi
HB ni majeruhi....
Hapa ndipo Bukayo Saka anapopangwa left back na AMN kule RB ni mwendo wa kufukuzwa tu na kusindikiza aisseeeehhh
Hawa kina Richarlson na Starboy watatuacha salama kweli pale Godson park?????
#HATUTOKI_HATUHAMI
Sent using Jamii Forums mobile app