Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Bro, tatizo lilikuwa unai big time. Na sasa Freddie is making some very stupid mistakes. Tatizo kubwa sana la Jana la Freddie ni kumuanzisha Willock. Na tatizo la pili ambalo wadau humu hamtokubaliana nami ni kumuacha Guendouzi benchMimi nilisema tatizo siyo kocha Relief Mirzska
Mkuu, tatizo ni kocha big time. Wewe angalia tu chances created ndani ya hizi game mbili na shots on goal ndio utaona. Game ya Norwich jamani tunaichukulia poa lakini kilichowatokea city pale carrow road sote tunakijuanilisemaga hii kitu kabla ya hata Unai hajafukuzwa
"Different Coaches, same Arsenal with the same results"
Halafu mashabiki wabishi wa Arsenal wakanishambulia
Nitarudia rudia mpaka waache kuwanunua wachezaji makombo kama akina Luiz
Timu ya watu 11 ikatokea 9 wana morali hao 2 yaani Willock na andazi jingine lolote makosa yao hayataonekana.Bro, tatizo lilikuwa unai big time. Na sasa Freddie is making some very stupid mistakes. Tatizo kubwa sana la Jana la Freddie ni kumuanzisha Willock. Na tatizo la pili ambalo wadau humu hamtokubaliana nami ni kumuacha Guendouzi bench
Sijui kwanin kocha alimwacha nje GuendozBro, tatizo lilikuwa unai big time. Na sasa Freddie is making some very stupid mistakes. Tatizo kubwa sana la Jana la Freddie ni kumuanzisha Willock. Na tatizo la pili ambalo wadau humu hamtokubaliana nami ni kumuacha Guendouzi bench
This was a dear mistakeSijui kwanin kocha alimwacha nje Guendoz
Nakataa bro. Leave alone wawili, akiwa mmoja tu yupo down basi ni matatizo. Coz kama mtu mmoja anayumba maana yake ni kama vile muko 1 player less.Timu ya watu 11 ikatokea 9 wana morali hao 2 yaani Willock na andazi jingine lolote makosa yao hayataonekana.
Mimi nilimpinga Willock kipindi kile, hata sasa hivi bado namuona miyeyusho. Guendouz nadhani unajua ninachosema mara nyingi.
This was a dear mistake
Kocha alikuwa na tatizo lakini pia management inayokubali kuwachukua magarasha yaliyokataliwa kama akina Luiz kama vile kaja kuuza sura Arsenal. Nyuma na kati hamna kitu hapo kila siku tutasema hivi. Nunueni wachezaji wa kuwareplace akina Luiz, Sokratis na hao wengine, Ozil naye kashachoka anakula pension ya bure tuMkuu, tatizo ni kocha big time. Wewe angalia tu chances created ndani ya hizi game mbili na shots on goal ndio utaona. Game ya Norwich jamani tunaichukulia poa lakini kilichowatokea city pale carrow road sote tunakijua
ARSENAL inamuhitaji mchezaji pale katikati aina ya BARKELY. Karibuni tufanye biashara