Mazee tupo ugenini au nyumbani?siamini naona Arsenal anaelekea kushuka Daraja Pochettino ndo wakuiokoa Arsenal kwa sasa as soon as possible huyu Freddie nasema mara mia ya UNAI kuliko huyu ndo atatuzamisha kabisa kabisa Board fanyeni haraka sana sababu naona kuna hatari hadi xmass tukawa wa 16 sababu West Ham away sioni kama tutashinda then De bruyne Emirates hahahaha nacheka kama mazuri ila tusiposhinda Leo tutaenda mechi 3 tumefungwa ngoja tuone kipindi cha pili ila sina mategemeo kabisa