Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Moderator Paw
tunaomba mtubadirishie hiyo picha ya Unai Emery hapo juu, ambayo ametambulishwa Kama Head Coach ili hali sio kocha wetu tena tangu 29/11/2019
 
Sasa kocha ana siku tatu, wewe umeshaleta umbea wako huku, nyie wanawake wa uswahilini mnatukera sasa.
Na nyie wanawake wa kijijini mnatukera sana kwa ushamba wenu huku mjini, haa haa, utaweza shindana na wanawake wa uswahilini wewe
 
Tena wachovu wengi wapo nyuma huku wanakera kweli yaani.
Sasa wewe mbona tukisema Arsenal ni ile ile kwa sababu ya hao wachovu mnatusema wanawake wa usahilini tunakera, shame on you
 
je ata kama kocha kwanini awachezeje willock je huyu mtot ubora wake uko wapi arsenal ishakuwa aston villa toka arsenal iachane na uwanja wake HIGHBUR sioni ikifanya vizuri teena
 
Sasa kocha ana siku tatu, wewe umeshaleta umbea wako huku, nyie wanawake wa uswahilini mnatukera sasa.
Kama ni kocha wa siku 3 mbona mumeanza kumshambulia halafu sisi wa nje tukisema humbly Arsenal ni ile ile hata mbadilishe makocha mnaanza kutoa matusi
Mara mnaanza kuwataja wachezaji kwa majina yao kwamba hawafai kuvaa Arsenal Jersey, mara wachovu hao, wewe mwenyewe umesema wachovu wamejaa huku nyuma, hii ina maanisha tuko sawa kwamba Arsenal ni ile ile haijabadilika
Mwisho wa siku tutajua ni nani mwanamke wa uswahilini hapa
 
Wakati Wenger kaondoka nikatamani timu ipate mtu kama Diego Simeon wa Atletico, jamaa anajua kuimotivate timu. Akaja Emery, nikaona na yeye ana huo uwezo.

So we were in safe hands. Kwa muda huo.

Msimu uliopita mechi tano za mwisho zikadhihirisha ni kivipi pale morali hakuna, Lacazette anapoteza mpira haufuati anasimama, ndiyo sababu Guendouz kwa baadhi ya watu anaonekana mzuri kwakua anaonekana anajituma kuliko wenzake.

Totenham ilianza kua kali kipindi cha Redknap jamaa aliwafanya Totenham wacheze jihad na mpaka leo naona ndivyo wanavyocheza.

Ok Totenham wamewazidi nini Arsenal? Leicester wamewazidi nini Arsenal? FIFA cards zinaonyesha tuna Forward ya makali ya 88%, mid 84% na back 84% zaidi ya Liver yenye 86% forward.

Shida iko wapi kama siyo kujituma?
 
According to the Evening Standard, the Arsenal board are considering Freddie Ljungberg to be among the candidates to permanently take over at the Emirates. They are prepared to offer the Swede a full-time manager position in case he turns things around during his time as a caretaker.
The report also states that the board are not in a hurry to appoint a new manager and are willing to give Ljungberg time to impress.
To show the board that he is the right man for the job, Ljungberg has to deliver positive results, starting with the next game against Brighton. After the 2-2 draw against Norwich, the Gunners are on a eight-game winless streak.
 
Huna jipya,hakuna anayemshambulia Freddie kwa muda huu,
 
Na nyie wanawake wa kijijini mnatukera sana kwa ushamba wenu huku mjini, haa haa, utaweza shindana na wanawake wa uswahilini wewe
Aiseeeh mbona lugha kalikali kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…