Sasa kocha ana siku tatu, wewe umeshaleta umbea wako huku, nyie wanawake wa uswahilini mnatukera sasa.Tukisema hivi
Different coaches the same Arsenal tunamaanisha
Mechi 8 bila ushindi
Muiteni Wenga aje kufanya jambo
Mkuu tuna kikosi dhaifu huu ni ukweli, kuna takataka nyingi zinabidi ziondoke tuunde timu ya ushindani.Kwa tathmini yako, unaona hii timu lini itacheza UEFA?
Huu ndio ukweli mchungu.Mkuu tuna kikosi dhaifu huu ni ukweli, kuna takataka nyingi zinabidi ziondoke tuunde timu ya ushindani.
Kwa msimu huu tukimaliza top 6 itakua ni mafanikio, binafsi naamini kama mabadiliko ya kuondoa takataka yakifanyika timu itaweza kucheza UEFA misimu 2 ijayo baada ya huu.
Tena wachovu wengi wapo nyuma huku wanakera kweli yaani.Mkuu tuna kikosi dhaifu huu ni ukweli, kuna takataka nyingi zinabidi ziondoke tuunde timu ya ushindani.
Kwa msimu huu tukimaliza top 6 itakua ni mafanikio, binafsi naamini kama mabadiliko ya kuondoa takataka yakifanyika timu itaweza kucheza UEFA misimu 2 ijayo baada ya huu.
Mkuu kama hawa CBs tulionao wenye uzoefu wanafanya school boy mistakes, hao amateurs wa U-23 si ndo wataleta majanga makubwa?Hivi hatuwezi kutafuta CB wawili U-23 wakaanza kucheza kwenye first team yetu. Hawa tulionao hawana uwezo huo. Magoli yote ni Uzembe kabisa, wanachelewa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
Naona Unajisahaulisha, wewe hata Europa ulikuwa unaikosa.
Mkuu kwa takataka zilizopo hapo Arsenal bado una imani ya kumaliza top 6?No team with fewer than 21 points after 14 Premier League games has ever finished in the top four
Mkuu kwa takataka zilizopo hapo Arsenal bado una imani ya kumaliza top 6?
Swali lilikua jepesi. Wewe unaanza ku complicateNaona Unajisahaulisha, wewe hata Europa ulikuwa unaikosa.
Sawa mama nifundishe kujibu hilo swali sasa, naona umejifunga kibwebwe kabisaSwali lilikua jepesi. Wewe unaanza ku complicate
Leo approach ya kocha imenisikitisha kwa kweli inaonesha bado anafikiri anafundisha U23.Sina imani
Kijana hauna haja ya kupanic. Mlishapitia vipindi vigumu zaidi ya sasa nashangaa unaanza kutoka povu kwa vitu vidogo otherwise umeanza kushabikia Arsenal juzijuzi may be!!Sawa mama nifundishe kujibu hilo swali sasa, naona umejifunga kibwebwe kabisa