Kuwa Kocha wa Arsenal kwa ilipofikia sasa inahitaji mtu smart kumzidi mzee Wenger, vinginevyo naona Wengi watatimuliwa hapa .Halafu mashabik wa Arsenal wakawa wanashangilia
Nakubali mzee baba.Hongera! Kwetu sisi Arsenal
Maoni binafsi: Kocha wa kuwezesha Arsenal kurudi katika ubora kwa haraka ni Luis Enrique. Enrique ni kocha anayeweza kuitransform Arsenal na kuendesha kiufasaha kutokana na mfumo wake na hasa Caliber na foundation ya timu kuwa kama Barcelona.
Hivyo board ya Arsenal imtoe Enrique timu ya taifa ya Spain aweze kuingoza Arsenal.
Je ni vipi aiongoze Arsenal? Enrique asimame kama head coach na wawepo double assistant coaches ambao ni Freddie na Arteta (Avutwe kutoka City), Double defensive coaches ambao ni Steve Bould na Per Mertesacker pia wawepo Double tactics coaches ambao ni Robert Pires na Mathieu Flamini. Pia awepo head of surveillance and foresee Thierry Henry. Gilberto Silva na Patrick Viera First Team Managers.
Hili ndilo suluhisho.
LUCHO alikubali kuja ila kumbe moreno akagomaHongera! Kwetu sisi Arsenal

Aje mwenyewe, assistants atawakuta.LUCHO alikubali kuja ila kumbe moreno akagoma
Robert Moreno 'rejected offer to be Luis Enrique's assistant at Premier League club' before pair fell out over ex-Barcelona coach's Spain return Moreno 'rejected offer to be Enrique's assistant in Premier League'View attachment 1276270
Hadi mi nimeiona nimeshangaa kichizi...kocha mdebwedo sana yule..Kuna mdau mmoja humu alishawahi kusema unai Emery hana akili sawasawa, leo nimeamini hilo, nimesoma habari yake huko sky sport eti anasema "I think we are improved" kwa Performance ya jana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ah baba mbona kama umeuwaa kabisa. mipango ya kupindua fifa hii.....si tutakuwa tishio worldwide.Hongera! Kwetu sisi Arsenal
Maoni binafsi: Kocha wa kuwezesha Arsenal kurudi katika ubora kwa haraka ni Luis Enrique. Enrique ni kocha anayeweza kuitransform Arsenal na kuendesha kiufasaha kutokana na mfumo wake na hasa Caliber na foundation ya timu kuwa kama Barcelona.
Hivyo board ya Arsenal imtoe Enrique timu ya taifa ya Spain aweze kuingoza Arsenal.
Je ni vipi aiongoze Arsenal? Enrique asimame kama head coach na wawepo double assistant coaches ambao ni Freddie na Arteta (Avutwe kutoka City), Double defensive coaches ambao ni Steve Bould na Per Mertesacker pia wawepo Double tactics coaches ambao ni Robert Pires na Mathieu Flamini. Pia awepo head of surveillance and foresee Thierry Henry. Gilberto Silva na Patrick Viera First Team Managers.
Hili ndilo suluhisho.
Yaani nina hadi tactics nimeziandaa.... Make Arsenal Great Again.ah baba mbona kama umeuwaa kabisa. mipango ya kupindua fifa hii.....si tutakuwa tishio worldwide.
Wote hapo ni Arsenal fans na pia 90% wamecheza Arsenal na wengi wapo karibu na Arsenal.Mzee siku likifukuzwa hilo benchi litafilisi club kulipa fidia ya kuvunja mkataba.
Carlo Ancellotti
Nuno Santos
Mikel Arteta
Hapa ndipo kocha atatoka[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Huyo Gary apambane na man u ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Arsenal have sacked Unai #Emery. Frederik #Ljungberg could be the new manager of Gunners. #transfers #AFCView attachment 1276044