Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunaelewa Freddie sio kocha wa kiwango cha juu, lkn mwamba ana DNA ya Arsenal, bila shaka atapata msaada wa kutosha kwa mashabiki na wachezaj pia. Jambo la msingi ni Unai kusepa, hapa weekend imekua nzur sana
 
Afadhali ngoja nianze wiki hii kuangalia upya mechi za Arsenal maana nilishasusa,kila nikitoka kibanda umiza nimenuna.Kwanza jina lake lenyewe lilikuwa linanipa shida hata kulitamka...
Yeah, maana alikuwa hana jipya tena
 
Tunaelewa Freddie sio kocha wa kiwango cha juu, lkn mwamba ana DNA ya Arsenal, bila shaka atapata msaada wa kutosha kwa mashabiki na wachezaj pia. Jambo la msingi ni Unai kusepa, hapa weekend imekua nzur sana
hivi freddie akiwalidhisha arsenal fans na matokeo mazuri si ndio anaweza akawa a complete arsenal manager kama yalio mtokea manyumbu...?!
 

Point sio OZIL mkuu,

Mimi sio fan sana wa ozil ila alikuwa anaonewa,

Kama hawezi kukaba fine muweke benki mechi unazohisi unahitaji watu wa kukaba zaid

Kuna mechi kibao ozil angecheza na kuleta matokeo chanya

Kocha gani miaka yote hana first 11?
 
Ndio umeongea nini mkuu????kwani nani anayesema kuwa tunafungwa kwasababu ya Mesut kukaa bench????

Kutwa watu wanalalamika

Poor tactics
Team selection
Wachezaji kuchezeshwa out of their origin positions n.k then wewe unakuja na hili jipya,mkuu vipi????
All in all he is gone.OVER

GUNNERS TILL I DIE
 
Wewe muda mwingine huwa unaandikaga vitu vizuri sana,ni shabiki pekee wa chelsea aliye mwerevu japo kidogo
 
Hii taarifa nimeipokea kama leo ndio tumebeba Ligi kuu......hahahahahaa
 
Emmery ameondoka, naamini sasa Arsenal lazima wabebe UCL
 
Ornstein: Freddie took the group to train at 11am and is finalizing his coaching team today. He has his Uefa Pro License and gave a rally call to the squad this morning.
 
Freddie Ljungberg’s message to the Arsenal first-team this morning was to stick together, turn their poor run of form around & to play for the shirt. [@SkyKaveh] #afc
 
halafu nasikia wamelichelewesha dili la kumfukuza emery mpaka leo kisa leo ni black friday

so wamemlipa kwa punguzo la 20% ***** bodi ya arsenal ni mabahiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…