Pamoja na kocha Unai kuwa ana matatizo yake, Ila wachezaji wetu naona wapo lazy sana wanapooza mpira, wanapoteza pasi kizembe .Kama hawana cha kupoteza.
Sasa sijui haya nayo ni maelekezo ya kocha. Ukimtoa Auba/Xhaka/Tierney kwenye kikosi kilichoanza sidhani kama kuna aliyebaki ambaye ni mzuri kiviile.