Arsenal (The Gunners) | Special Thread

safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sasa kuwaombea dua mbaya wapinzani kama sio wote basi hata mmoja afungwe,manake duh maumivu ya spurs bado yapo.
 
Hee kumbe mmeshinda leo?.....asa wajameni, kwanza hongera, afu poli pongezi kwa AW, Gena na Kweli, kiu-KWELI mna moyo ila kuna huyu mdudu anaye eneza Malaria kwa kasi sana, alikuwa na moyo kama nyie, ila sijui siku hzi yu wapi, nna wasiwasi na nyie vis a vis timu yenu inakoelekea..Lol!
 


Ahh, manda nawewe ulipotelea wapi? :thumb:
Arsenal together we stand!!!

Haondoki mtu hapa.
 
Mechi ya jana sikuicheki, majukumu mengi...nimecheki highlights kiaina....3 points ndani....Together wakuu...
 
Hongera Arsenal kwa ushindi wa jana, Jitahidini mchukue ubingwa msimu huu isiwe kila siku mnaishia nusura nusura tu.
 
Hongera Arsenal kwa ushindi wa jana, Jitahidini mchukue ubingwa msimu huu isiwe kila siku mnaishia nusura nusura tu.

Mkuu wewe mtani nini? Naona upo maeneo ya Spurs.

Mzee Harry Redknapp nae amesuka timu nzuri msimu huu.

Lol
 
Jumamosi Arsenal ilikuwa ni ile timu ambayo inanuia kuwa mabingwa. Mzee Wenger alifanya mabadiliko saba na X1 yake ikamkosa Cesc Fabregas ambae nafasi yake ilizibwa na Jack Wilshere.

Andrey Arshavin akifurahia hali ya hewa ambayo kwa sasa inafanana na ile ya kwao kule Siberia alikuwa ni mwiba na alishiriki kwa kiasi kikubwa kusababisha magoli yaliyofungwa na Samir Nasri, Marouane Chamack na Wilshere.

Lakini ni Samir Nasri ndie alikuwa nyota wa sehemu ya kiungo ambapo alikuwa akiamrisha mashambulizi na kugonga mlingoti ndani ya kipindi cha kwanza na hatimae kufunga goli la pili dakika ya 45 kabla ya kwenda mapumziko.

Samir Nasri ananikumbusha filamu ya French Connection ambapo kocha wa Villa Gerard Houllier aliamua kucheza kamali kwa kuanza na Robert Pires ambae aliwahi kuchezea Arsenal lakini akashindwa kumudu sehemu ya kiungo na mpango ukafa na Pires akatolewa wakti wa mapumziko.


Andrey Arshavin




Dogo Wilshere akifunga goli la nne na kuweka sukari juu ya keki ya ushindi.
 
What are we playing in today's game...hakuna focus ya game kabisa..........
 
It counts ...Its arsenal 1.....OG.... Antolin Alcaraz
 
Nice play from The Captain...then Vela who croses in and Bendtner greats the net....2-0 GO Gunnerz....
 


15h00 GMT.
...ni Arsenal Vs Fulham leo katika uwanja wa nyumbani. Watoto wa mjini 'Londonistan' hawa.
- Together we stand! -
 
M da unakaribia wakuu i hope tutashinda leo hapo emirates.


Arsenal team: Fabianski, Sagna, Koscielny, Squillaci, Clichy, Song, Wilshere, Nasri, Rosicky, Arshavin, Chamakh. Subs: Szczesny, Van Persie, Walcott, Denilson, Djourou, Gibbs, Bendtner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…