Ahhhhh! acha uchokozi...wale mabeki wangu was8ng8 tu, mnapigwaje chenga kama mechi za mchangani bana?
Kiwango cha Mpiga chenga kaka......
It Looks like offside but it Counts...CAMARA.....1-1................So bad..
Ni Verma yule anatolewa?, kazima au?
Uwanja wa ugenini huenda matokeo yakawa yaleyale
Beki yetu inalala sana Fabianski katuokoa.
Sijui why AW usirekebishe hapo man............
Wachezaji wetu wanapenda sana kufanya maisha yao magumu.Chances tumepoteza kibao sasa matokeo yake ndio haya na tukifanya mchezo tutatoka patupu.
Emirates maisha yanazidi kuwa magumu.
Tofauti kabisa na msimu uliopita......Home tulifanya better than Away...................hata hivyo bado Rosicky hajaweza kugawa vema mapande ya magoli...........