Nakumbuka sanaNliwahi kumuuliza Aaron Arsenal, anaonaje kuhusu Sanllehi kufanya kazi na mawakala mfano George Mendes, au kipindi yupo sven as a head of recruitment, which is the best option?
Kwangu nliona sven alikuwa muhimu sana kuliko hata huyu sanllehi,huyu kinachombeba ni mahusiano yake mazuri na watu wengi wa mpira, ila sven ni ngumu kumeza, kivyovyote vile timu lazima iende tu,eti Emery katuondolea Sven Afu lenyewe bado lipo tu.
The Golden eye.
Kesho mashabik wengi huko UK wanaomba tufungwe maana hiyo mech haina umuhimuNaomba Frankfurt kesho wafanye mambo aisee,Najua Norwich hawawezi kutuangusha juzi walimchapa Everton 2-0 nyumbani Goodison park sasa wanashindwaje kushinda kwao dhidi ya Arsenal ya Emery,? hawa Frankfurt si walimfukuzisha Nico kovac pale Munich, sasa wanashindwa nini kwa muhindi huyu hapo kesho.?
Kesho muhindi akifungwa tu,hapo hapo hakuna haja ya kumchelewesha.
Mislintat wanted to take #AFC back to its player-developing roots and discover talents with the potential to grow in the Arsenal shirt. Midfielder Lucas Torreira from Uruguay exemplifies this strategy.
Mislintat found Torreira thanks to a feature in his own software called 'Similar Players'. It follows the logic of Amazon's algorithm: "Clubs who like this player might also be interested in these ones.”
Eager to add more resilience to Arsenal's midfield, Mislintat checked players with a similar profile to the Frenchman N'Golo Kanté. The system proposed Sampdoria's Torreira.
“I knew him, and I had also noticed him doing well before.” Mislintat said.
Matteo Guendouzi, a signing from second division Lorient, for once, the energetic young midfielder's arrival had nothing to do with data analysis but instead came about courtesy of some old-fashioned scouting.
Mislintat saw in the 19-year-old qualities that cannot easily be measured in numbers: courage, strength of nerve, enthusiasm and leadership.
In his 14 months at Arsenal, Mislintat proved that his way of doing things worked in the Premier League. Raul Sanllehi, however, decided to put more trust in his network of agents. Mislintat saw this startling development as a signal.
His contract was then terminated mutually.View attachment 1273432View attachment 1273433View attachment 1273435View attachment 1273436
Wewe ni wakupuuzwaKumuweka Kante na hiyo takataka yenu kwenye picha moja. Ni kumkosea heshima Kante.
Kwanza hiyo website ni ya Arsenal halafu unategemea uikose timu yako. Tuwekee list ya makombe ya maana siyo makombe ya kreti za soda na mbuzi.Jitafute....View attachment 1274336
we unadhani ni sahihi kwa arsenal kumchukua Nuno Espírito Santo?! mimi naona arsenal watakuwa wamebugi kabisa hapo..Tetes za Nuno uchebe zinazidi kuongezeka kasi
Maripota mbalimbali wanahisi mwisho wa emery umefika ukingoni View attachment 1274599View attachment 1274600
Cash Money unazinguaDAH HONGERENI WAZEE. NUNO KAMWAGA WINO View attachment 1274606
Kwangu ni sahihiwe unadhani ni sahihi kwa arsenal kumchukua Nuno Espírito Santo?! mimi naona arsenal watakuwa wamebugi kabisa hapo..
we unadhani ni sahihi kwa arsenal kumchukua Nuno Espírito Santo?! mimi naona arsenal watakuwa wamebugi kabisa hapo..
Makombe ya maana ndio nini mkuu????Kwanza hiyo website ni ya Arsenal halafu unategemea uikose timu yako. Tuwekee list ya makombe ya maana siyo makombe ya kreti za soda na mbuzi.