Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Anaacha tu , Wakala wake ni Mendez ,japo kupata kocha aliye na timu kwa sasa lazima mfuko utoboke kuvunja mkataba wakeInawezekana akaacha wolves kipindi hichi? Sidhani labda mpaka mwisho wa msimu.
Sio rahis kumpata kwa sasa , katoka juzi kusaini mkataba mpyaMchukueni Thomas tuchel wa PSG.
Umeongea sahihi kabisaWengi tunataka aondoke, actually kwa sasa Poch anafaa kuwa caretake hadi summer.
Swali mmejiuliza compensations atakazopewa na staff yake nzima. Running a club sio kama kuendesha genge la nyanya jamani. Tukumbuke arsenal sio timu ya kutoa toa pesa ovyo, Stan sio kama Roman kwamba akikasirika anatoa €20 mill kutafuta mtu wa kum-replace kocha na jopo lake.
Tunapoomba atimuliwe, tuombe kwanza Stan atoe pesa za kumlipa na watu wake na alete nyingine ya kumpa caretake. Not easy, especially with the Gooners!!
Unachosema ni kweli ,na most of fans wanasema hivoBinafsi siamini kama Nuno atawapa ubingwa wowote. Ila naamini mtacheza mpira mzuri sana wenye kasi na nguvu.
Nuno akija Arsenal hatakuwa Nuno yule wa wolves. Mambo yatabadilika presha ya mashabiki, team kubwa, malengo makubwa.
Aisee tafuteni kocha aliyewahi kufundisha team kubwa, chini ya presha kubwa ya mashabiki. Anzeni na Alegri. Nuno ni try and error.
hapana, ni bora sharii kuliko shari kamili, yani hawa board badala ya kutatua matatizo ambayo ni ya muda mrefu wanataka kuleta solution za siku mbili tatu then tatizo linarudi pale pale.Nafikiri hukukusudia kumtaja Unai hapo mkuu
Hivi unai unamjua au unamskiahapana, ni bora sharii kuliko shari kamili, yani hawa board badala ya kutatua matatizo ambayo ni ya muda mrefu wanataka kuleta solution za siku mbili tatu then tatizo linarudi pale pale.
Nuno ni bidhaa kama unai tu, hakuna tiba hapo ni painkiller tu huyo.
Hivi huoni hata aibu kujiita mkubwa mbele yangu? Mkubwa kwa lipi labdaTulia wewe,ukifika hapa uwe na adabu cz ni kwa wakubwa zako
Waombe radhi fan wenzako wa gunners. Wenyewe wanwkushangaaTimu ya maana ni Arsenal tu
Kweli kabisaBinafsi siamini kama Nuno atawapa ubingwa wowote. Ila naamini mtacheza mpira mzuri sana wenye kasi na nguvu.
Nuno akija Arsenal hatakuwa Nuno yule wa wolves. Mambo yatabadilika presha ya mashabiki, team kubwa, malengo makubwa.
Aisee tafuteni kocha aliyewahi kufundisha team kubwa, chini ya presha kubwa ya mashabiki. Anzeni na Alegri. Nuno ni try and error.
Jitafute....Hivi huoni hata aibu kujiita mkubwa mbele yangu? Mkubwa kwa lipi labda
VemaMIDFIELDERS WATU MUHIMU MNO KWENYE SOKA
Midfielders hawa ni sehemu muhimu mno kwenye team yeyote ile duniani viungo ndio hutengeneza patterns bora kimchezo kati ya backline na forward line
Viungo ndio muhimili wa team na flow yake kiuchezaji kwenye sifa zote kimchezo yani defending na offensive attributes
Lakini viungo wapo wengi wakigawanyika kwenye aina kuu mbili ambazo ni attacking midfielders na holding midfielders pia viungo wamegawanyika kulingans na nafasi positions kuna central midfielders na wide midfielders
Kwa kuzingatia hayo juu kuna viungo wafuatao
1.DM ( defensive midfielder)
Huyu ni kiungo ambae kazi yake kuu ni kupokonya mipira kwa lugha ya wenzetu ball winning player pia kulinda backline yake
2.BOX TO BOX
Hawa ni viungo ambao kimsingi wanacheza roles mbili kwa wakati mmoja au ni wachezaji wenye sifa zote kimchezo box fo box ni midfielders ambao team ikiwa na mpra usaidia kushambulia na ikipokonywa urudi chini kukaba
3.DEEP LYING PLAYMAKER
Huyu ni mchezaji ambae ni fundi kimsingi ana specialize zaidi na ball skills kuliko defensive ni viungo wenge vision maamuzi ya haraka wana open chanels za ushambuliaji
4.WINGER
Huyu ni kiungo mshambuliaji lakini anae tokea pembeni tunasema wide midfielders lengo kuu ni kusaidia ushambuliaji pitia pembeni mara nyingi utawakuta uko kwenye touch line wana pace ( kasi) dribbling skillis pass accuracy( usahihi wa pass zao) cross etc
5.KUNA ADVANCE PLAYMAKER
Hawa waitaliano wanawaita #register ni attacking midfielders ambao wapo very creative kutengeneza nafasi au kufunga kabisa na mara nyingine utumika kama second striker au deep lying striker wana vision passing ability kubwa na kadhalika
Hawa ni baadhi tu nafikiri tumepata picha kidogo ni kitu gani viungo wanahitaji kulingana na nafasi zao au majukumu
Nitaendelea wakati mwingineView attachment 1274145
Nilikuwa nikisema mimi hapa sven ni mtu makini na angetufaa kwa lile sakata bora tungemuacha muhindi watu wakawa wananipinga.Huyu kocha ni mbinafsi sana Kifikra, sio hilo hata kwenye usajili nasikia alikumbatia sana fikra zake kushirikiana na Sanllehi kuliko kumsikiliza mtalaamu Sven Mislintat aliyeletwa kwa kazi hiyo. Jamaa akaona wanataka kumpoteza katika maamuzi then akawaachia timu akatimka zake. Nimekuja kumuelewa huyu jamaa (Sven Mislintat) sasa hivi kuwa kufanya kazi na hawa watu labda uwe mpumbafu na ukalie akili zako.