scrappy
JF-Expert Member
- Apr 8, 2019
- 450
- 566
we jamaa acha taarabu .man u ikishinda unatuletea kero humu, mkiburuzwa kimya.kwan arsenal na manyumbu wanautaofauti gani kwenye matokeo....
we jamaa acha taarabu .man u ikishinda unatuletea kero humu, mkiburuzwa kimya.kwan arsenal na manyumbu wanautaofauti gani kwenye matokeo....
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 we jamaa mpira hujui haya tuwekee tena CURRENT TABLE.
Atarudi wapi huyo..😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 we jamaa mpira hujui haya tuwekee tena CURRENT TABLE.
Seeing a lot of #OleOut on Twitter. manutd can I interest you in this man? He has 3 Europa leagues under his belt already and could definitely take your club to the next level
Sidhani kama litakuwa ni chaguo sahihi.KUTOKA CHANZO CHA KUAMINIKA ,
KAVEH , REPORTER WA SKY SPORT
Mikel Arteta now favourite to become Arsenal manager. Chief exec Ivan Gazidis wants new manager to:
1. Keep playing progressive football.
2. Embody & reflect the values of the club.
3. Take keen interest in developing young players.
Arteta ticks all those boxes.
Matokeo vp huko nyumbu?Mkuu unajua historia ya Arsenane. Wenger alikaa hapo miaka 15 bila kikombe na hakukuwa na mtu wa kumgusa. Actually kufukuza kocha ni gharama kubwa kumlipa kwa kuvunja mkataba na kuajiri kocha mwingine "wa maana" ni gharama kubwa ambayo timu ndogo kama Arsenane hawataweza, anayeiweza hayo ni United na Chelsea. Unai ana miaka mingine kama mitano hapo.
Chelsea hatufungwi na kudroo na vidagaaa mkuu,vidagaa tunavipa 2+ tunashindwa kambale tuMatokeo ya Chelsea vipi mkuu?
Kubakwa kubakwa tu, haijalishi umebakwa na mtoto au mtu mzimaChelsea hatufungwi na kudroo na vidagaaa mkuu,vidagaa tunavipa 2+ tunashindwa kambale tu

Vidagaa ndio vinasababisha mnapiga kelele ya kanji out mgevifunga sasa ivi mgekuwa contender ,ila vinawabamizaKubakwa kubakwa tu, haijalishi umebakwa na mtoto au mtu mzima

Hapo mtapiga frankfurt,Norwich ,mtapata drop na Brighton Emery at the wheel .Tatu hiziKwa leo nimeona baadhi ya magazeti kama Mirror, Mail, Times na Independent yote yameandika habari inayo fanana kuhusu Unai Emery.
Yameandika Unai kabakiza mechi 3 tu huku wakiwataja Arteta na Allegri.
Kimsingi haya magazeti sijachukuliagi 100% tusubiri kesho sasa na akina Telegraph, The Athletic na Guardian tupate Ukweli wa mambo.
#coyg![]()
![]()
Mkuu una akili nyingi sana.Toti,soton,Leicester,Watford wanafukuza kocha sembuse asenali...ila sometimes watu wanaangalia watu wa kujibu.....yawezekana watu wamekuona wamekupuuzia ndo maana hujajibiwa hujiulizi..